Lowassa na Kiingereza chake!

Ni wakati sasa Tukienzi Kiswahili Chetu.
Kama ni lugha inayozungumzwa na zaid ya watu mil 150 kwa sasa Kidhungu chao tupa kule.
Wakiwa na shida na sisi basi waje na wakalimani wao au sisi tukiwa na shida basi atalipwa mtu wa kufasili
 
mleta mada unaamini ili kiongozi awe mzuri ni lazma ajue kiingereza? kwan lugha yetu ya taifa ni kiingereza?
 

Nathani mtoa mada bado anafikla za utumwa.
 
Hata rais Xi Ji Ping hajui kiingereza lakini ni rais wa nchi yenye nguvu zaidi kiuchumi duniani BAADA ya Marekani.....kalaghabaho
 
Kwani lowasa kashindwa nn hapoo??
Au wewe unajua zaidii??
Kazaliwa monduli , kimasai
Kusoma monduli +arusha kimasai na kiarusha
Kusoma hapa hapa tz kwa kifupi sasa unashangaa nini kwa kingereza anachoongea mzee mbona kiko vizuri sana
Yeye hakazi koo ndio maana inatoka sauti nyepesi we vipi bhana
 
Kuongea kingereza au kutokuongea sio kipimo cha intelligence. Wake up kid. *grabs popcorn*
 
Mdau umewahi kumsikia Lowassa akizungumza kiingereza????hebu mtazame hapa rais wetu huyu mpya halafu just imagine siku yuko cnn anahojiwa na Larry King na hivi vingereza vya kuandika kwanza then kukariri


tatizo liko wapi kwan? bora anajua kiswahili no problem
 
Last edited by a moderator:
Ana confidence sana hata kama angekosea maana cjaona alikokosea, mtu huwezi kugundua. Cha msinigi anachoeleza kimeelweka sana na amejenga hoja kwa nguvu. A Strong man Lead by actions
 
Rais wa Russia, Rais wa China, Rais wa Korea, Rais wa Brasil na hata Prime minister wa Spain na Pope hawa wote ni viongozi na hawajui Queen's Language vizuri.
 
Freedom is coming....

Naimba tu😛😛

Tukutane October 25

Team UKAWA
 
Mleta mada ni mbumbumbu. Hujui kuwa nchini hii lugha yetu ni Kiswahili? Hata kama ameamua kuongea Kiingereza, bado naona anafahamu ku-connect vizuri na anaongea vizuri tu kiingereza, lugha yetu ya tatu! Uzi wako hauna mashiko!
 
Hicho nadhani kinatosha..so simple ma maneno anatamka yanasikika..kwa maana ya communication thats enough...kwani ulitaka aongeeje?
 
Mdau umewahi kumsikia Lowassa akizungumza kiingereza????hebu mtazame hapa rais wetu huyu mpya halafu just imagine siku yuko cnn anahojiwa na Larry King na hivi vingereza vya kuandika kwanza then kukariri


we ni mbururaaa dunia nzima....sasa hapo tatizo liko wapi... yaan kiingereza alichoongea kinaeleweka. au ulikua unataka aongee kama tony blair..?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…