Lowassa must be ashamed of himself. Anna Mghwira kamzidi kutawala jukwaa!

Kama ni mabadiliko ni heri tuwape ACT wanaeleweka kuliko chagadema na fisadi wake ambaye hata kueleza atafanya nini hawezi/hana

Wazo lako haliko mbali na ukweli lakini ACT ni Chama Kichanga sana. hata wakipata support kiasi gani hawawezi kushinda na sisi hatupo tayari kusubili miaka mitano mingine au zaidi. wakati muafaka ni huu na wakutuvuusha ni CHADEMA/UKAWA
kama wataharibu basi tutawatafakari baada ya miaka mitano.
ikumbukwe kuing'oa CCM madarakani siyo jambo la lelemama kwani wamezoa Hila, Dhulma na mambo mambo mengi ya ajabu ajabu, hivyo tunahitaji devotion ya hali ya juu sana ili kufanikisha na kuvuka hapa tulipo.
 
Huyu MAMA wa ACT amemzidi Lowassa kila kitu.

Hakika Lowassa umetuaibisha sana wanaume wa Tanzania.

Yani ulishindwa jaribu hata ongea kama huyu MAMA.??

Sad.
Nasikia, sina uhakika though hicho nilicho kisikia nina hisi kina ukweli kwa % kubwa sana, yaani zaidi ya 80% kwamba wanawake kwa siku 1 huongea zaidi ya maneno 25k wakati sisi wanaume ni maneno 6k tu.
Ubora wetu wanaume katika kuongea ni wakati unamsotea mwanamke mbishi so unapiga sound hadi akukubali then baada ya hapo anakutawala tena kwa maneno yake mengi. Fanya na wewe utafiti ku prove hilo.
 
Back
Top Bottom