Lowassa mbioni kuinusuru Hoteli ya KKT, Corridor Spring

Lowassa mbioni kuinusuru Hoteli ya KKT, Corridor Spring

hotel ni kitega uchumi cha kanisa!ni chanzo cha mapato.mkopo ndio uliotumika katika ujenzi wa jengo la hotel!

mfano mwingine ni safari hotel ya arusha! inasemekana inafanya vizuri sana!

mkuu wala hukuwa na haja yakumweleza manake hata ukimweleza haimsaidii coz wanachojuw ni kufuga ndevu tu
 
Mi nafikiri ya kwmb kuna njama wanafanya hao majangili. Hiyo hoteli inawasaidia vipi waumini?

Mi ni Mlutheri ila sina faida na hotel ile wa Selian hosptal.

Ndoma cc wengine upuuzi huu wakuchangia cjui maendeleo ya uSHARIKA 2lishaachanaga nayo kiTAMBO! niite popote kwenye UJENZI waKANISA ntatia TIMU bt c ujinga km huo wakujaza ma2mbo yao! kuna sehem nimema Viongoz wakiLUTHERI wakati mwingine wanakuwa km CCM wanawaDHARAU waumini sn wao! Muhimu kujitambua!
 
hotel ni kitega uchumi cha kanisa!ni chanzo cha mapato.mkopo ndio uliotumika katika ujenzi wa jengo la hotel!

mfano mwingine ni safari hotel ya arusha! inasemekana inafanya vizuri sana!

Mapato yanamsaidiaje MUUMINI wakawaida!
 
Hii hotel inaaiwa zaidi ya 10 billion bro sio bilion 1, tumeshaendesha harambee za ndani kwa dayosisi mzima zaidi mara 2 kwa kila mkristo kutoa shs 30,000/= kwa dayosisi mzima, mie mwenyewe nimechangia sana tu, kiukweli kanisani nako kuna ufisadi tena mwingi tu na ninajua hata kama sie tutaunyamazia watoto wetu wa vizazi vijavyo watakuja kuwapiga wachungaji na maaskofu mawe! halafu nasikitika kwa system ya kkkt askofu akimess up hawezi kuwajibishwa, ingekuwa ni roma askofu lazima alishawajibishwa!! ila all in all makanisa tena yote kuna ufisadi mwing sana unafanyika

Njomba sio sahihi kwamba kwenye system za KKKT askofu akimess up hawezi wajibishwa, inaelekea historia ya KKKT huijui vema. Mambo yanafanyika kwa kufuata taratibu na misingi iliyowekwa na kanisa na si kukurupuka kuwawajibisha maaskofu kienyeji tu. wako maaskofu kadhaa mfano mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuna askofu mmoja wa KKKT DSM alikuwa mbadhirifu na mzee wa kujirusha "brazameni mzee wa totoz" akang'olewa, kuna wengine hivyo hivyo kule singida na morogoro waliondolewa vilevile kwa kuharibu mambo
sasa unaposema kkkt maaskofu hawawajibishwi ulikuwa unayafahamu hayo? Case ya arusha hakukuwa na ushahidi wowote wa maana kumtia askofu hatiani, ni yalikuwa maneno mengi tu kama ingebainika sheria ingechukua mkondo.
 
Hakuna kanisa inawakamua waumini wake kama KKKT, ujenzi wa hiyo Hoteli waumini walikamuliwa vilivyo, ingawa hakuna faida yoyote wanao pata, ile ni full biashara na mapato sijui yanaelekeaga wapi.
 
wajenge chuo kabisa

Yale yale2 hicho CHUO kitamsaidia nini muumuni wakawaida! Ushajua hata ADA zao zilivyoKALI? mi nadhani KANISA lirudi kwenye LENGO lake la zamani kuwaelekeza pipo kwa MUNGU hii mambo ya BZ waachane nayo watu watagombana sana!
 
Ni swala jema ila sisi waluteri ninapata shida pale ambapo tuna miliki mashule. Hospitals. Vyuo ila waumini wa hali ya chini ambao ni wachangiaji wakubwa wa maendeleo hawapati ile direct impact mf. Shule ya agape seminary Mtoto wa muumini wa maisha ya kawaida hawezi SOMA pale mfano mwingine tuition fee ya chuo chetu Tumain IPO juu compare with St agst ya mwanza ambacho ni cha kanisa pia so kwa mawazo yangu lazima tuliangalie kwa upande wa pili. Kwa niliyemkwaza sorry.

Hakuna kukwazana hapa hizo ni facts, waumini tunajibana kichangia miradi ya kanisa ambayo mwisho wa siku hiyo miradi haina manufaa wala impact kwetu waumini mwisho wa siku mradi ukifail turudie kuchangia kunusulu miradi, huu ni upuuzi.
 
hotel ni kitega uchumi cha kanisa!ni chanzo cha mapato.mkopo ndio uliotumika katika ujenzi wa jengo la hotel!

mfano mwingine ni safari hotel ya arusha! inasemekana inafanya vizuri sana!

mkuu managemnt sehemu yeyote ikishakuwa nzuri tu,mambo yote yanakwenda poa,hata mi naikubali sna ile management ya safar hotel
 
nyie ndo wale wale mnao miliki id mbilimbili,unaandka na unajibu ww
lowasa ata kama baadhi ya wapnzani wake kisiasa na vbaraka wao wanajaribu kumchafua he is clean...MUNGU AMBARIKI NA ATIMIZE MALENGO YAKE 2015 MUNGU AMPE AFYA NJEMA AWE RAIS WETU
 
Juzi tu tulilipa riba peke yake milioni 600, bado awamu nyingine.

Hoteli ya kanisa hairuhusu wazinzi, walevi, wavuta sigara kulala pale, na hakuna lounge kwa ajili ya kupata vinywaji vikali ndiyo maana hoteli haifanyi vizuri.

USHAURI WANGU;
Hoteli ya Corridor Spring iuzwe, fedha zitakazopatikana zielekezwe kujenga shule au hospitali ya kanisa

Kwa hiyo viongozi na waumini wa kanisa lenu wakifika Arusha waende kulala kwenye hoteli za wazinzi? Hoteli imefisadiwa mnakuja na visingizio vya kutouza pombe na sigara. Mbona waislamu na wakristu wengi wangeipenda hiyo hoteli kwa sifa hizo ulizotoa?
 
Kuna meneja mmoja mhaya alishwekwa na marehemu ask T.Laiser akasimamia vema ila mafisadi walimwagia tindikali....laana ndani ya kanisa...baba wa watu amekuwa mlemavu.
 
Juzi tu tulilipa riba peke yake milioni 600, bado awamu nyingine.

Hoteli ya kanisa hairuhusu wazinzi, walevi, wavuta sigara kulala pale, na hakuna lounge kwa ajili ya kupata vinywaji vikali ndiyo maana hoteli haifanyi vizuri.

USHAURI WANGU;
Hoteli ya Corridor Spring iuzwe, fedha zitakazopatikana zielekezwe kujenga shule au hospitali ya kanisa

Ushauri mzuri sana.
 
mkuu managemnt sehemu yeyote ikishakuwa nzuri tu,mambo yote yanakwenda poa,hata mi naikubali sna ile management ya safar hotel

Hivi hotel ya st.Gasper ya dodoma ni ya kanisa pia..?
 
Hakuna kukwazana hapa hizo ni facts, waumini tunajibana kichangia miradi ya kanisa ambayo mwisho wa siku hiyo miradi haina manufaa wala impact kwetu waumini mwisho wa siku mradi ukifail turudie kuchangia kunusulu miradi, huu ni upuuzi.

Kwa upande mwingine inabidi muige mfano kwa wakatoliki..naona wanaenda vizuri kwenye miradi yao...
 
Ni swala jema ila sisi waluteri ninapata shida pale ambapo tuna miliki mashule. Hospitals. Vyuo ila waumini wa hali ya chini ambao ni wachangiaji wakubwa wa maendeleo hawapati ile direct impact mf. Shule ya agape seminary Mtoto wa muumini wa maisha ya kawaida hawezi SOMA pale mfano mwingine tuition fee ya chuo chetu Tumain IPO juu compare with St agst ya mwanza ambacho ni cha kanisa pia so kwa mawazo yangu lazima tuliangalie kwa upande wa pili. Kwa niliyemkwaza sorry.

Umeongea point sana....
 
Huyu bwana anastahili pongezi kwakweli....he has a heart
 
Nafikiri ni muda muafaka hawa mabwana wachukuliwe hatua za kisheria.
 
Yesu alisema ni vigumu kuwatumikia mabwana wawili:Mungu na Pesa,lazima mmoja utampoteza.
 
Back
Top Bottom