Lowassa, maji ya shingo

Lowassa, maji ya shingo

Mtafi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
235
Reaction score
64
Mgombea wa urais kupitia Chadema amezidi kupata wakati mgumu, hasa baada ya maelfu ya wana CHADEMA kuendelea kukimbia chama hicho na kujiunga na CCM.

Hata hivyo, bado maelewano yake na mgombea mwenza wake yamekuwa ni madogo, hali inayozidi kudhoofisha uwezo wake.
 
baada ya upepo kuonyesha kuwa ccm inakwenda kushinda tena wameanza kutumia mbinu zote ikiwemo kutengeneza picha za mafuriko.
 
Mgombea wa urais kupitia Chadema amezidi kupata wakati mgumu, hasa baada ya maelfu ya wana CHADEMA kuendelea kukimbia chama hicho na kujiunga na CCM.

Hata hivyo, bado maelewano yake na mgombea mwenza wake yamekuwa ni madogo, hali inayozidi kudhoofisha uwezo wake.

Mnajitekenya na kucheka wenyewe.... Leo anatua Mkoa wa Mara....

Mara ni mikoa ambayo Lowassa atashinda kwa asilimia 90..... Kule ni vitha ni vitha Mura
 
Na ivi sasa ukiuangalia ukawa kama unaakili inayofanya kazi vizuri utagundua kunakitu hakiko sawa sababu utamuona lowasa tu yule mwenzie hayoko tena. (duni) anasikika kwa kukatakata.
 
Duni kishamaliza kazi kampeni za nini? Anafanya yake tarehe 25 ushindi.
 
Yaani kwa kifupi kipaumbele cha awamu inayopita kingekua ni Elimu, Elimu, Elimu mgombea wenu angepaswa kupopolewa kila sehemu aendepo.
 
naona mitoto ya kigamba inafarijiana, ccm lazima itoke tu!
 
Back
Top Bottom