Lowassa,Mahanga na Sumaye ni wa kulaaniwa kama walishiriki huu mchezo

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,128
16,099
Tumewasikia wanachama hawa wa chadema kwa nyakati tofauti wakiungama mbele ya wananchi wao waliowaamini kipindi hicho cha nyuma wakiwa wabunge kuwa walikuwa wakiiba kura na kusahau kuwa kuna watu hawakulala na kuhamasisha watu na wanachama kuwapigia kura,maneno yao yanaonyesha ni jinsi gani walivyokosa hekima na busara katika matamshi yao,
Tunajua ukiwa upinzani unaweza kujitoa ufaahamu ukasema lolote.

Kwa maneno yao hayo ni dhahiri watu hawa kesho wakarudi na maneno mengine ndani ya upinzani,
tulitegemea watu watazungumzia sera na jinsi gani watawaletea maendeleo ambayo ccm imeshindwa kuwaletea ndani ya nusu karne waliyotawala.
Lakini tayari wameshawakatisha tamaa kuwa hata wakipiga kura wataibiwa tu, watu hawa ni wa kulaaniwa kama walishiriki kwenye mchezo mchafu kama huo na kutukosesha maendeleo kwa kuwa walikuwa wanazuia nafasi kwa wizi na waliendelea kula mishahara na posho ili wakijua hawakupaswa kuwa kwenye zile nafasi ndio maana nchi haikuendelea kwa kuwa waling'ang'ania nafasi wasizo na uwezo nao,
Wa kuwasihi wananchi kuwaogopa watu hawa wenye unafiki wa siasa,hawakuwajali waahiri wao wa kujua kuwa watarudi kwa wizi wao na wakati pia wa kutueleza walitumia mbinu gani kuiba kura,

Hii ni dalili kuwa hata wakishindwa iwe rahisi kuwazuga wanachama wao na kusahau kuwa wameshindwa kutangaza sera madhubuti za kuwakomboa wananchi kimaendeleo!

Ni wakati wa kuwakataa wanafiki na kuwalaani

Kampeni zinaendelea

Safarini zimbabwe!
 
wanawachezea ufipa kwa kuwa wanajua ni rahisi kuwahadaa... kama ingekuwa ni kweli ccm inaiba kura si kusingekuwa na upinzani tz.. acheni porojo nadani Sera wananchi watachagua
 
Kupayuka wanapayuka wengine U-DC anapewa Joketi muuza rasta na kucha za bandia , Huruma sana !
Ndio maana slaa aliondoka baada ya kujeruhiwa yeye na mkewe ugombea urais akapewa lowassa ambaye alikuwa hajui hata mlango wa ufipa wala katiba ya chadema ilani aliishia kuikunja kama gazeti pale jangwani!
 
Ndio maana slaa aliondoka baada ya kujeruhiwa yeye na mkewe ugombea urais akapewa lowassa ambaye alikuwa hajui hata mlango wa ufipa wala katiba ya chadema ilani aliishia kuikunja kama gazeti pale jangwani!
kumbe ilikuwa lazima awe yeye.
 
Maradona!
stylin-1.gif
 
Back
Top Bottom