Lowassa leo kuibua mazito

Status
Not open for further replies.
Haya tufanye EL alishinda. Hebu kabla hatujasema tujiulize haya.
Hivi anaviti vingapi walivyoshinda ubunge ukawa dhidi ya CCM? Kaongoza mikoa mingapi ?

Hebu tu logical jamani!!

Mkutano ulishafanyika. Nimeona video clip yake. Sasa hebu tukuulize na wewe mbona kwa mfano mwakz 2010 sehemu nyingi unakuta kashinda mbunge wa upinzani lakini madiwani wengi ni ccm? Mfano iringa mjini mbunge wa chadema akiwa na madiwani watatu tu. Hebu tuambie pia hiyo logic yako inafanyaje kazi hapa?
 
Tupeni hayo mazito basi wakuu....tehe tehe ...hizi siasa kama hujapevuka unaweza kuwa chizi ....
 
Tupeni hayo mazito basi wakuu....tehe tehe ...hizi siasa kama hujapevuka unaweza kuwa chizi ....

Hakuna mazito. Nadhani wameishajenga tabia ya ku create anticipation bila sababu za msingi.
Hii tabia yao ya kutengeneza shauku lakini kusitokee la maana ita backfire.
 
HIVI HUYU MDUDU LOWASA BADO YUPO MJINI? Naomba mwenye ukaribu na DJ MBOWE amwambie muda wa kuchunga ng'ombe huu mjini anafanya nini? masihala tuache wakati wa KAZI TU ndio maana wenzake walikuwa DODOMA kujiandaa na KAZI
 
Si hivyo tu hata huko Marekani ingawa Barack Obama wa Chama cha Democratic alishinda Urais lakini wabunge wengi walioshinda ni kutoka chama cha Republican.
 
Jana nimesoma article kule jf international ikimhusisha na PK na Nkurunzina na T-empire. Baada ya hapo nnampa heshima kuu MTIKILA (RIP) na kumpuuza El. El go to h, leave our country alone.
 
ana mtaja mwenye richmond au... ?
anatueleza mrejesho wa kikao na T.B Joshua
au mikakati ya kujenga chama CDM na kuclear sintofahmu ya viti maalum...

ZITTO sana ni sintofahamu ya zanzibar ..

tungeendelea ni mipango mingine ya upinzani kudai katiba mpya..
 

Ukimkuta mtu anaekunya kwa kutumia mdomo huwa ni shida.utaona hoja zake ki.nyes tupu!
 
Kwa hotuba hii nawaomba CDM wampe Lowassa uongozi wa chama rasmi ..ama kweli, God forbid
 
Si hivyo tu hata huko Marekani ingawa Barack Obama wa Chama cha Democratic alishinda Urais lakini wabunge wengi walioshinda ni kutoka chama cha Republican.

Kwani uchaguzi wa Rais na wabunge unafanyika siku moja huko Marekani kama hapa kwetu?
 
my preso ENL!!

Its too late....tulikusubiri sana tumechoka,tumeshaanza kupambana na maisha yetu binafsi.....na mpaka sasa yumkini ulitumwa uje kuua upinzani.....matumaini tuliyoweka kwako mara ICJ mara utatoa tamko mpaka jpm kaapishwa bado umekaa kimya....na akina mbowe na wenginewo....shiiit!! kaeni kimya tu...wacha tuendelee na maisha yetu coz hata msemeje KESHA APISHWA na ameshaanza majukumu yake.
 
Wapi na saa ngapi ili tuone jinsi mtu mzima anavyojidhalilisha kusema uongo .Leo sitoki
 

Kokote haki huchelewa huwezi iba au zuiya haki ya mtu kama unakubali kunyamaza ww acha cc tupambane
 
Kokote haki huchelewa huwezi iba au zuiya haki ya mtu kama unakubali kunyamaza ww acha cc tupambane
mjukuum; hivi toka watangaze tu mpaka leo jamani?
Huu ni zaidi ya ujinfa eti leo mtu keshaapishwa keshaanza kufanya kazi ndo tunashtuka na kutaka kuwaambia watanzania kile kilichotokea wakati wa uchaguzi...aahaaaaa.....jamani....
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…