Lowassa leo kuibua mazito

Lowassa leo kuibua mazito

Status
Not open for further replies.
#Ruttashobolwa nakuomba km hujui au km hujawah kusoma ktba ya znz pls utafute na uisome >>>>Jamani tuacheni imani zetu za vyama na turudi ktk sheria na ktba
 
Lubuva katuumiza wana mabadiliko,,,Lowassaaaaa Mabadilikoooo,Mabadilikoooo Lowassaaaaaaa.


Lowassa hata akiibua mazito haisaidii, ?too late to catch the bus? Kabla matokea kutangazwa CDM wangepeleka madai yao ya msingi mahakamani ili kuzuia matokeo yasitangazwe, lakini hawakufanya hivyo. Kwa mujibu wa sheria matokeo ya rais yakisha tangazwa hayahojiwi popote na yeyote, Kubalini tu yaishe. Ooh! mkutano wa jangwani tutaibua mazito, mara kwenye mkutano wa kampeni Arusha tutaibua mazito, mara kwenye press conference tutaibua mazito..mazito yenyewe yako wapi mbona hayaibuliwi kama yapo?. sidhani kama mnaeleweka sasa.. kama ccm waliiba kura au walifanya hila yoyote, mlikuwa mnasubiri nini kuweka wazi ? hamueleweki?
 
Ata akizungumza haitasaidia kitu.

Nibora akatulia na familia yake tu.
 
Ata akizungumza haitasaidia kitu.

Nibora akatulia na familia yake tu.
Bora ukweli uwekwe hadarani maana tukikaa kimya, 2020 tena mtarudia huu ujinga wenu hivyo ni busara kusema kuliko kukaa kimya.
 
Huyo lowassa ashatuudhi sana kwa udhaifu wake na bora anyamaze tu. Akili na mawazo ni namna gani tutalipiza kisasi kwa unyama wa kumuua kamanda Mawazo huko Katoro Chato basi.
 
Lowassa mzee wa series...hii ni season two😅😅😅
 
Mtatoa matamko sana na ukweli mnaujua kuwa mmeshindwa tu. We una wabunge 35 kati ya 265 utapataje urais! ungeunda serikali ya mseto or? mambo mangine muwe na aibu kidogo mtu mzima akivuliwa nguo huchuchumaa, heri mjadili hali ya kisiasa ya Zanzibar kuliko kudanganya nyumbu wenu na kuwapa matumaini hewa.
Zaidi ya nusu ya wabunge wa ccm hawakushinda kihalali .
 
Burundi wapinzani waligoma kuingia kwenye uchaguzi kwa hoja ya msingi kuwa tume ya uchaguzi nchini humo sio huru na Dunia nzima ikajua kuhusu hilo na kwa sasa Burundi inawekewa vikwazo vya kila aina kufuatia maamuzi hayo ya wapinzani.

Wapinzani wa hapa kwetu Tanzania, on the other hand, waliaminisha mashabiki wao na ulimwengu mzima kuwa watashinda uchaguzi kwa kishindo tena kwa kura million 10, mara kwa asilimia 80 nk. Sasa leo kiko wapi!? Mnaanza kulia lia hapa mara oooh tume sio huru, mara tumeibiwa ushindi wetu. Kwani ndio mmejua leo kuwa tume sio huru!? Huu ni upuuzi kutoka kwa watu wazima kama Lowassa na Mbowe. Upuuzi mno!

Kwa sasa hizo press release hazitakuwa na jipya lolote lile. Kama ni kuhusu stori ya kuibiwa kura tayari mmetuadithia. Sasa mkishasema leo hadithi hiyo hiyo ya kuibiwa ushindi nini kitafuatia? Maana Tanzania ni nchi huru na inaendeshwa kwa sheria zake na katiba yake. Katiba ya nchi ipo wazi kuhusu suala la kumtangaza rais.

Aidha, jumuiya za kimataifa zimetoa pongezi kwa uongozi mpya wa Dkt Magufuli. Hakuna mtu atayerudi nyuma na kusema vinginevyo tena kwa sasa. In short wapinzani hamna timing kabisa. Na hii ni dalili kuwa nyinyi ni vilaza na msingeweza kuongoza taifa letu. Huyo Lowassa alisema ataenda kuchunga Ng'ombe, nadhani angeelekea huko Monduli na kuacha hizo blah blah zake.

Caution: CHADEMA waende na nepi/pampers huko kwenye press maana Lowassa hachelewi kuharibu.

#ISupportMyPresident
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom