Lowassa leo kuibua mazito

Lowassa leo kuibua mazito

Status
Not open for further replies.
Unajua wapinzani muda mwingine huwa hawafikirii kabisa...hivi tamko la Lowasa litasaidia nini? Kama uchaguzi bara ulishafanyika na Rais tunaye na kama ni zanzibar uchaguzi umeshapangwa kufanyika mwakani!

Hayo matamko hayato saidia lolote kama wanampango wakugomea uchaguzi wanapoteza muda maana uchaguzi utaendelea kama kawaida....
 
Lowasa muda wa mafuriko umeshaisha,muda wa mahaba ulishaexpire,,,Hana ushawishi wowote kwa sasa.Mavi ya kale hayanuki.
 
Unajua wapinzani muda mwingine huwa hawafikirii kabisa...hivi tamko la Lowasa litasaidia nini? Kama uchaguzi bara ulishafanyika na Rais tunaye na kama ni zanzibar uchaguzi umeshapangwa kufanyika mwakani!

Hayo matamko hayato saidia lolote kama wanampango wakugomea uchaguzi wanapoteza muda maana uchaguzi utaendelea kama kawaida....

We jidanganye tu uchaguzi bara lowasa alishinda,,zanzibar maalim seif ni mshindi uchaguzi haurudiwi
 
hapa kazi tuu, naona maigizo bado yanaendelea, najua atawaambia watu waigize kuzimia
 
Meela
Edo, anamatazo ya kifkra, yy pamoja na wasaidizi wake, hzo ngojera wazipeleke kule ukawa, wao kama walijua kuwa tume si huru kwa nn walikubali kuingia kwenye uchaguzi?

Kwa nn wasingegoma na kutueleza watz kuwa hatuingii kwenye uchaguzi mpaka tuwe na tume huru?

Leo wanapoteza mda na takwim za uongo, mara walete watu wakukusanya matokeo kama wao ndo tume, jamani we edo na wenzako haki haipatikani kwa kuutaka urais au kutuaminisha wtz kuwa ulishinda.

Tume ipo 1 tu.. nje ya hapo kubali matokeo, kachunge ng,ombe kama ulivyosema.
 
Last edited by a moderator:
Mtatoa matamko sana na ukweli mnaujua kuwa mmeshindwa tu. We una wabunge 35 kati ya 265 utapataje urais! ungeunda serikali ya mseto or? mambo mangine muwe na aibu kidogo mtu mzima akivuliwa nguo huchuchumaa, heri mjadili hali ya kisiasa ya Zanzibar kuliko kudanganya nyumbu wenu na kuwapa matumaini hewa.
 
mbona nimesikia mzee kingunge akisema uchaguzi ulikuwa huru na haki na vyama vitegemee ruzuku kwa matumizi sio kutengemea hela za mfukoni
 
We jidanganye tu uchaguzi bara lowasa alishinda,,zanzibar maalim seif ni mshindi uchaguzi haurudiwi

Sawa, lakini kuna mtu keshaapishwa na mizinga 21 tayari imeshatandikwa hewani na wiki hii anaunda serikali. Ushauri tu, acha kujitesa usije pata vidonda vya tumbo.
 
kuapishwa sio tatizo,,anaweza kuondolewa kwa nguvu

Kwa nguvu ya nani? Acheni kujidaganya na kutaka kumpa fisadi Lowasa uwezo ambao hana, kama alikuwa uwezo wa kufanya hayo angeshayafanya zamani sana kwanza hata kabla ya kutoka CCM!

Fisadi Lowasa ana matatizo ya akili na CCM wanamjua vizuri sana na ndiyo maana walimkata hata akina Mbowe wameshamstukia na muda siyo mrefu wataachana naye na kuwekeza nguvu zao kwenye mambo mengine, huyu Mzee ni mzigo kwanza nafikiri hata mke wake anashukuru vile anavyojishughulisha na chadema ili amuondolee mzigo nyumbani kwa maana kushinda siku nzima na jitu libishi na lisilojifunza kama hili ni lazima uchanganyikiwe!

 
Jamaa wana weweseka mpaka leo !

Alipoulizwa swali na Idhaa ya BBC kuhusu nini hatma yake kama angeshindwa uchaguzi , kwa wepesi alijibu kuwa atarudi monduli kuwa mfugaji na mkulima.
Sasa hili weweseko ni la nini. Huu ni usanii sasa. Kila siku oooh tamko tamko tamko nitatoa tamko. So what? Sasa akishatoa tamko anadhani ndio itakuwaje. Rais ni John Joseph Pombe Magufuli. Full stop! Kwishnei ! Eti akikatwa hapata kalika, sasa pamekalika au hapaja kalika? Dua la kuku....
Mnajidanganya kila siku na kuendelea kupiga hela za babu . Ni hivi Zama zake zilishakwisha jamaniiiiiiiii.
 
aiseeeee huyo presidaaa ataongea saa ngap na mda gan heb m2update
 
Kwa woga wa magamba kuna uwezekano Kova keshafanya yake!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom