Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,870
Lubuva katuumiza wana mabadiliko,,,Lowassaaaaa Mabadilikoooo,Mabadilikoooo Lowassaaaaaaa.
hako kawimbo hamjakapeleka studio bado?au mnakaotaga usiku?
Lubuva katuumiza wana mabadiliko,,,Lowassaaaaa Mabadilikoooo,Mabadilikoooo Lowassaaaaaaa.
Ukisoma hiyo habari inaeleza kuwa Lowassa anakusudia kueleza jinsi kura zilivyoibiwa na pia wanakusudia kueleza juu ya kuporwa ushindi huko Zanzibar na kueleza ni nini kitafuata.Maelezo ni mengi kwakweli.Salary Slip ungemaliza tu story wengine simu zetu tunazifahamu wenyewe.
Uchaguzi umeisha ndugu, kama kujisafisha ajisafishage, ila ajue Mbowe ndo kamkoseaha urais sababu ya kumchafua kwa miaka nane!
Awe tu senior citizen![/QUOTEHii ya wanaume kupakaa injofece inekaaje!
Haijalishi,ukweli lazima uwekwe wazi.Yaaani mpaka leo bado mnawaza uchaguzi wa October 25? Heee kwani kashindwa kwenda kuchunga ng'ombe? Ikulu ilishapata mkaaji na kazi yake tumeshaanza kuiona.
Hawana jipya la msingi wakajipange upya.Maisha yaende.
Wizi mwingine huu hapa !!!