Huna hela ya kula unajikakamua kuandika lugha za watu.
Toa data wewe. Wengi maana yake nini?Another fact is more CCM members are continuing to leave CCM and join opposition parties.
Mbona Bashe kapata, Maige kapata, Lugola kapata etc?
Hapa Le Mutuz watu wameshindwa kumjibu kwa facts wanabaki kuzunguka mbuyu.
Hapa Le Mutuz watu wameshindwa kumjibu kwa facts wanabaki kuzunguka mbuyu.
Hapa Le Mutuz watu wameshindwa kumjibu kwa facts wanabaki kuzunguka mbuyu.
Hana Facts huyo,anajipendekeza kwenye chama na Magufuli ili apate selfi.ndo maana mawazo yake haleti huku,anatoa kwenye Instagram wall yake na wachangiaji wake ni wale wanaosema 'well said' kila mada
exactly!...na mbaya zaidi sio hapa tu!
Hawa watu ni wa kuwahurumia tu.