Lowassa kwa maono ya Le Mutuz!!!

Lowassa kwa maono ya Le Mutuz!!!

Wewe huna akili jaribu kuangalia nyakati usikompee alipokuwa CCM na alipohamia UKAWA. Fanya yako acha upotoshaji wa UMMA wewe na huyo kampeni manager wote mna mawazo mgando mmegubikwa na mahisia ya CCM sisi vijana tulizaliwa CCM tumeikuta na imetuweka hapa pabaya tulipo. Huna nguvu ya kutubadili mawazo. Tunabadilishwa na nguvu ya mabadiliko ya kweli. Tunawaweka wengine wenda treni, ndege na meli zikarudi. Tuambie kwanza maisha bora kwa kila mtanzania na ajira kwa vijana ziko wapi afu ndo uongee mengine. Huna akili huko uliko sio bure utakuwa unakula pesa za watanzania pia. Fikiria tena na tena ndo uje utuambie vizuri
 
Another FACT is 'hahahahahahahaa'
 
My God, I cant believe this! Of all people masopakyindi, hata wewe umeshuka kiasi hiki! Una copy na ku paste mawazo ya mtu kama Le Mutuz! Kweli hujafa hujaumbika. Ngoja nikutonye tu mdogo wangu, UKAWA wanacheza ngoma nzito, ona jinsi kila mwana CCM, anavyohangaika na UKAWA. UKAWA ndio habari ya mjini, hakuna mwenye habari na Makomeo aka Makufuli aka Magufuli aka Pombe...yaani you have all danced yourselves lame before the main dance.

You are all dancing to the tune played by UKAWA. UKAWA ndio wanaamua nani atangaze nia ya kuiacha CCM kwenye mataa na lini watangaze. Hii ni katika kuhakikisha CCM inamomonyoka taratibu, wakijashtuka hamna aliyebaki. Hebu subiri kampeni zianze mwishoni mwa wiki. Watakaokuwa wamebaki ni kwa mipango maalum ya UKAWA, kuongeza sintofahamu ndani ya CCM hadi watu wasiaminiane tena, kila moja akimtolea mashaka mwenzie hadi wachanganyikiwe.

masopakyindi, CCM inakufa na ving'ang'anizi kama wewe nawafananisha na kupe...ng'ombe anachinjwa kupe yupo tu, anachunwa kupe yupo yu, ngozi inaanikwa juani ndio kupe anagutuka. Mtu mwenyewe aliempakata Magufuli naye kachoka kweli kweli, anatamani amdondoshe na yeye akapumzike UKAWA. Wengine siku kama hii tumeisubiri na tulijua itafika tu, amini usiamini CCM kwishnei ikichungulia kaburi na hakuna tena namna, lazima ipigwe chini.
Mkuu usipige rangi picha ya swala wakati swala yupo upenuni.

Le Mutuz katoa FACTS.
Tujibu hoja kwa hoja.

Ni vema mkazijibu kwa staili hiyo.
Maandamano ya uwingi na kuhamasishwa watu kwa viroba na pesa , ukweli unaonekana wazi.
 
Huyo Le Mutuz kubwa jinga nae hapo kaona kaongea jambo la maana kwelikweli. Kwa hiyo akili yake kubwa anayojisifu nayo kashindwa kuelewa FACT ya HOJA SIO WALIOJITOKEZA HADHARANI KUMFUATA LOWASSA UKAWA, HOJA NI KURA WATAMPA NANI OCTOBER 25?
Mtu kubaki CCM sio hoja, kimwili wapo CCM, rohoni wapo na Lowassa UKAWA na hii ndio Fact sio hizo blah blah.
 
We ni kama wale wanaoandamana kwa viroba vya valuu.
Hauko mioyoni mwa watu kujieleza hivyo, unless ni mchawi!
Mwenye dhamira safi na wazi anajionyesha mchana kweupeeee!
 
lemutuz_nation this is not- the FACTS but absolutely nonsense kwa kuwa lengo kubwa la Caption yako hii nikutaka kuwatisha vijana kuwa ili uweze kupata fursa ni lazima ushabikie maccm kitu ambacho ni upuuzi katika dunia ya leo na ukizingatia wewe ni msomi.- Na nukuu "Na wewe kijana unayekimbilia kumfwata Lowassa UKAWA unajua unajifungia opportunities mwenyewe cause unachokifanya ni point of no return " Ni opportunities gani hizo kijana wakitz amewahi kuzipata akishabikia CCM na atazikosa endapo atamfwata LOWASSAofficialpage UKAWA!?
Ukitaka nikuelewe/tukuelewe weka facts hapa za nikwanini kijana wakitz anakila sababu ya kushabikia ccm na kuipiga kura October.

Vijana wakitanzania tumepigika vyeti vipo ila vimegeuka mapambo ya kuta na vitanda vya kunguni ili hali fedha/mabilioni ya MFUKO WA MAENDELEO YA VIJANA chini ya WHVUM na OFISI YA WAZIRI MKUU kila mwaka unatengewa mabilioni na wanakula wenyewe baba zao ikulu na washirika wao bila shaka na wewe ukiwemo ndiyo maanaa unaona nisawa kijana wakitz achague maccm.

TIB(Tanzania Investment Bank) ilitangaza fursa pamoja na mafunzo kwa ajili ya kuwasaidia wahitimu wa vyuo vikuu mikopo ili waweze kujiajiri, mafunzo wakahudhuria na vyeti wakapata ila mabilioni wakabeba wengine alafu leo lemutuz_nation unaniambia nisimshabikie LOWASSAofficialpage kupitia UKAWA awe rais wangu wa awamu ya tano ni kwa kipi ambacho maccm wamenipa.

Bum la chuo linatolewa kwa double standards na hata nikipata lazima nigome nipigwe mabomu ndiyo niwekewe kwenye account alafu leo hii@lemutuz_nation unanitisha unaniambia nishabikie maccm kwa kipi walichonipa zaidi ya kuvuja jasho lisilo na matunda.

Vijana tupo zaidi ya milioni 16.2 lakini walio ajiriwa serekalini ni 188,087tu na makampuni binafsi 1.03 hivyo zaid ya milioni 15 tunashanga tu mjini na hiyo ndiyo unataka iwe sababu ya sisi kushabikia ccm na pombe!?

Vijana wangapi leo yao ni bora kuliko jana yao!? na wanauhakika wa kesho yao kuwa bora kuliko leo yao!? wawe na uthubutu wakuishabikia ccm ambayo imewapeleka likizo kwa miaka yote hiyo na kumwacha LOWASSAofficialpage anayeonyesha kila dalili yakuwatoa kwenye likizo isiyonamalipo.

Duniani kote vijana ndiyo wenye kuamua taifa lao liwe la namna gani,na CCM walilala usingizi wa pono bila kututhamini wakidhani vijana ni watoto wa viongozi wao tu kitu ambacho leo kinawavujisha damu za pua. Na hakika October 26 ikiwa itakuwa ni siku yangu yakuzaliwa itakuwa rasmi pia siku aliyoangushwa mkoloni mweusi CCM nchi Tz.

CCM IMETUFANYA WAJINGA VYA KUTOSHA, SASA BASI! !
 
Last edited by a moderator:

Well....
Ngoja nikupe mifano miwili. Kuna wenyeviti wawili ninaowafahamu hadi sasa wapo CCM ila kura zao + familia zao ni kwa Lowassa. Mmoja ni mwenyekiti wangu wa mtaa mwingine ni baba yangu mkubwa.
Need I say more?
#TukutaneOctober
 
Fact ni kwamba hakuna vita mbaya ya kupigana ukiwa na moles ndani. Hiyo ndo Kali sana kuliko hao wanaotangaza kutoka, tuvumilie tuu ni suala LA muda, itabainika tuu.

FACT ni kwamba CCM itafutika kabisa wakati wabunge 150 waliokuwa wanamuunga mkono EL watakapojitoa rasmi CCM baada ya kuteuliwa Tume ya Uchaguzi na kuwaacha Ukawa kupita bila kupingwa. Hapo ndo Le Mutuz atajua kuwa watu wazima wanafanya mambo kimkakati sio kulefa fact za kitoto hapa.

Ningeshangaa sana kuona kundi lote la EL lingehama siku moja. Tusubiri tuone maana muda ni jibu la kila kitu. Si Kikwete wala CCM walijua kwamba EL engehama. Na laiti wangejua wasingemteua JPM kuwa mgombea wao.
 
le mutuz sometimes anatoaga maneno kuntu sana huyu raia
 
Neno ni moja tu..all we need is this giant monster( ccm) out..hapo ndo mengine yatazungumzika
 
Back
Top Bottom