masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,409
- 14,116
- Thread starter
- #101
CCM imewekwa na wananchi wanaoipenda na haijiweki yenyewe.Hivi nilazima ccm ibaki madarakani? Kwa miaka kingapi? Mabadiliko brings a different world view. Change will hav to come. Tatizo ni kwamba ccm huendesha serikali kwa mazoea nchi utafikiri ni shamba la bibi, and that is what pple are tired of. Watu kuunga mkono au kusitounga mkono lowassa ni personal choice. What u hav said is your personal opinion. Ila wapo wengi tuu wamenufaika na ccm tena sana tu, na wapo wengi nao hawajafaidika na ccm. Ilo lazima liwepo. Lakini, wote wanaopigania ccm kuendelea, niwaoga wamageuzi. Change! yes it can happen. Let's wait and see! Swala sio mh. Lowassa, watu wame choka na hiki chama this is a fact. Muta msema sana lowassa, ila wanachoshindwa kufahamu, nikushindwa kutambua makosa wanoyafanya kwa wananchi. Kwahio ccm wasitafute mchawi, ..
Na sisi tulio wengi tunafaidika na CCM Kuwa madarakani.
Ninyi wachache endeleeni kuishabikia Ukawa ili mushindwe.
Kwa demokrasia iliyopo ni wengi wape.
Lowassa hajachoka kuwa CCM ila ana uchu wa madaraka na ninyi ndio ngazi ya ndoto yake ya urais.
Hana mchoko wala uchungu, na kujidai vinginevyo ni kujidanganya nafsi yo bure!