Lowassa kwa maono ya Le Mutuz!!!

Lowassa kwa maono ya Le Mutuz!!!

Kweli BAVICHA/Team Lowassa vilaza nimesoma comment zote hakuna hata mmoja aliyejibu hoja zaidi ya kejeli na pumba zisizonamaana mara ubongo mara babayake mara mwili wake which is none sense ametoa HOJA/FACT mjibuni kwa HOJA
 
Lemutuz ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM, pia mjumbe wa jumuiya ya wazazi, anafanya kampeni kupaisha chama chake kwenye social media, unategemea mtu gani aanze kulumbana naye humu wakati anazuia mafuriko kwa Mikono?!!

Vema,kama una tatizo na kampeni zake mpinge kwa FACTS!..afterall hata hayo 'mafuriko' hayatakuja bila kampeni hivyo huwezi epuka 'kulumbana' nae/nao!
 
Kwa hoja hizi zako wewe; ni wazi ubongo wako umepata pumziko la milele! RIP
 
My God, I cant believe this! Of all people masopakyindi, hata wewe umeshuka kiasi hiki! Una copy na ku paste mawazo ya mtu kama Le Mutuz! Kweli hujafa hujaumbika. Ngoja nikutonye tu mdogo wangu, UKAWA wanacheza ngoma nzito, ona jinsi kila mwana CCM, anavyohangaika na UKAWA. UKAWA ndio habari ya mjini, hakuna mwenye habari na Makomeo aka Makufuli aka Magufuli aka Pombe...yaani you have all danced yourselves lame before the main dance.

You are all dancing to the tune played by UKAWA. UKAWA ndio wanaamua nani atangaze nia ya kuiacha CCM kwenye mataa na lini watangaze. Hii ni katika kuhakikisha CCM inamomonyoka taratibu, wakijashtuka hamna aliyebaki. Hebu subiri kampeni zianze mwishoni mwa wiki. Watakaokuwa wamebaki ni kwa mipango maalum ya UKAWA, kuongeza sintofahamu ndani ya CCM hadi watu wasiaminiane tena, kila moja akimtolea mashaka mwenzie hadi wachanganyikiwe.

masopakyindi, CCM inakufa na ving'ang'anizi kama wewe nawafananisha na kupe...ng'ombe anachinjwa kupe yupo tu, anachunwa kupe yupo yu, ngozi inaanikwa juani ndio kupe anagutuka. Mtu mwenyewe aliempakata Magufuli naye kachoka kweli kweli, anatamani amdondoshe na yeye akapumzike UKAWA. Wengine siku kama hii tumeisubiri na tulijua itafika tu, amini usiamini CCM kwishnei ikichungulia kaburi na hakuna tena namna, lazima ipigwe chini.
 
#le mutuz will and shall never likes lowassa! ( l'île chezo )
lazima babu alimhadith
 
FACT : Gari ya sisiem imeendeshwa na oil chafu kwa miaka takriban 54, na bado ina oil chafu ndani , injini imekufa beyond repair
FACT: Tanzania chini ya serikali ya sisiem ina mamilioni ya mateja na vibaka kila mkoa , hawa vile vile wanajulikana kwa majina ya mbuzi, swala na nyumbu.
FACT: Kwa sisiemu raia kuchapa mtu makonde ni kosa la jinai, ila waziri na kiongozi yeyote mkubwa mkubwa wa chama kuchapa mtu makonde ni sifa ya ubinadamu maadamu anapigania kula

hapo hatujaweka facts zingine zinazohusu maisha yetu ya kila siku ya sisi vibaka na mateja ambazo tunaweza kujaza seva ya JF
 
Facts gani???? Kwani Nyerere wakati anapambana kwa ajili ya uhuru alipata support ya wenyeviti wa ngapi???? Humo ndani ya C.C.M vilevile kuna wasaliti ambao wataisaidia UKAWA kutangazwa washindi saa mbili kamili asubuhi tar 26/10/2015.
That is very true.

Fact nyingine ni kuwa wapo wenyeviti wengi waliobaki CCM na viongozi wengi tu wa magamba ambao wanaendelea kuwepo CCM kimwili lakini kiroho tayari wesha-join Ukawa, ikiwa ni mkakati muhimu sana wa kufanikisha ushindi hapo Oktoba 25 mwaka huu.

Ndipo itakapothibitika kuwa EL siyo moto wa mabua kama alivyodai JK, bali ni moto unaowaka nyikani ambao unaendelea kusambaa kila uchao ambapo 'fire brigades' zote zimeshindwa kuuzima.
 
Mbona Bashe kapata, Maige kapata, Lugola kapata etc?

Ni kweli. Hiyo aliyosema kwamba wabunge wote 150 waliomuunga mkono Lowassa wamekosa viti kwenye kura ya maoni sio fact, ni kitu tunaita fallacy. Maana haiwezekani kiuhalisia. Inamaana more than 56% ya wabunge wote wa CCM wametoswa kura ya maoni? Mmmh zinaweza kuwa facts, lakini the figures tell otherwise.
 
Huyu CCM ndio wanamuweka mjini. Unadhani anapenda ukawa?. Kama umesoma article zake za nyumba alikuwa akiwalaumu CCM kuleta hii hali ya lowassa kuhama.Now anashangaa vijana kumfuata edo.
 
Tatizo la wanachama wa ccm ni kupingana na ukweli akuna asiyejua ccm imepoteza mwelekeo ni mpumbavu tu anayeweza kufananisha wingi wa watu na wingi wa swala kwa sababu binadamu aliumbwa kuwa na akili kuliko vitu vyote October itasema ukweli wote wananchi wamechoka kwa mfumo mbovu wa ccm wanaitaji Mabadiliko walioko ccm wanaangalia maslai yao na wananchi wanataka mabadiliko
 
Mimi binafsi lengo langu ni kuwatia adabu CCM. Kuwakimbiza mpaka muishiwe pumzi. Naamini hata Lowassa ndio lengo lake, he is not going down without a fight. Ama kwa hakika, hakuna anayejua nani ataibuka kidedea kwa sasa, ndio maana watu waliozoea kula vya kunyonga, kuchinja wanashindwa. CCM ilishazoea kushinda kilaini ndo maana mnapigwa na butwaa, hamuamini yanayotokea-safari hii mtanyooka tu.

Kwa taarifa tu, vijana wanaoandamana na Lowassa na ukawa wamejiandikisha na watapiga kura. Kama watu walikesha usiku kucha ili kupata vitambulisho, hawatashindwa kupanga foleni ya kura. Hii danganya toto ya kipindi cha Mrema safari hii hakuna, hata Mrema mlimuibia kura ila safari hii tunapiga kura na kuzilinda na mkijaribu kuiba tunarusha ushahidi whatsup fasta!
 
what fact??? Bashe habebi mtazamo wa vijana wote tz. Kwa hiyo kuwepo kwake au kutokuwepo kwake sio tija. Hivi km lowassa ni moto wa mabua au oil chafu au swala mbona mnajishebedua shebedua kwake. Endeleani na kampeni zenu objectively not subjectively. Hivi hamjishtukii kama mnapoteza muda na nguvu kujipanga. Yaani kuanzia mkuu wa mipasho, fitina na husuda mpaka na familia yake lowassa amekuwa shiiiiiiidaaa. Jipangeni, na jiandae kuzomewa na kushughulikiwa wewe na kundi lako la wala rushwa na wezi wa rasilimali za nchi kuanzia tar 1-11-2015.

achana na hilo kubwa jinga
 
huyu mtu ni mkubwa ki mwili ila akili fupi sana.wewe unajua bashe ametoka wapi na lowassa na hapo mimi huwa nasema ccm imebugi sanaaa amini usiamini wabunge wengi wa ccm mchana wataongea magufuli kampeni za usiku watawaambia wapiga kura akili kichwani mwenu.mimi nina uhakika wabunge wengi wa ccm wao wenyewe watampigia kura za urais lowassa.ie kangi,deo,bashe,majimarefu,zungu,azan and so many others believe or not thats the fact.wacha huyo bonge analeta maelezo anasema ni facts bure kabisa huyu mtu!!
 
Back
Top Bottom