Lowassa kuzulu Kaburi la Mzee Peter Kisumo kesho

Lowassa kuzulu Kaburi la Mzee Peter Kisumo kesho

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,229
Reaction score
3,330
Wakuu wanajamvi

Kama mtakumbuka kuwa rais mtarajiwa wa JMT, ndugu Edwad Ngoyai Lowassa alizuiliwa na serikali ya CCM kuhudhuria mazishi ya kada wa chama hicho, marehem Mzee Kisumo.

Lakini kwa kuonyesha upendo wa dhati kati ya Lowassa na mzee Kisumo, kesho mh. Lowassa atalizuru kaburi la mzee wetu na kuweka shada la maua pamoja na kuhutubia mkutano mkubwa utakaofanyika viwanja vya shule ya sekondari ya Usangi Day.

Kama upo Usangi/ Ugweno unakaribishwa.

Madava mpenda/mabadiliko.
 
Tunashukuru sana kwa taarifa hiyo ya mgombea wetu wa Ukawa!
 
Mbona alipofika tanga hakuenda kuzuru lile la mgombea wa chadema aliefariki??
 
Hii Ratiba ya Lowasa mbona haieleweki? C alikuwa awe Musoma? ratiba imebadilika ghafla?
 
Tumegundua magamba mnafuata kla anapopita so tumeamua kufanya kriss kross na hii utafanya mfilisike mapema

Kuna mdau mmoja WA ukawa alisema lowasa anashambulia na kujihami au tuite counter attack.
mpinzani ccm hapaswi kujua nyendo za lowasa
 
Hii Ratiba ya Lowasa mbona haieleweki? C alikuwa awe Musoma? ratiba imebadilika ghafla?

tunafanya kwa kushtukiza mana tunapambana na jabari kubwa mno linahitaji taymin kulimaliza
 
Back
Top Bottom