mimi siamin kama amehonga chadema wanasubiri ccm watamfanyaje huyu bwana, je watamtosa au atabeba bendera ya ccm na wakimtosa mbadala ni nani? ili wapange shambulizi
kamuulize mwenyewe lowassaNi kiasi gani hicho mkuu.....
Hilo la Chadema kuhongwa liko wazi mno. Na kwa taarifa Lowassa ameshakubaliwa kugombea kupitia Chadema endapo jina lake litaondolewa. hoja zako zingine nimeikubali ila lowasa kuhama chadema bado sikubali kwa sabab ufisadi wa lowasa uliibuliwa na chadema na wakati wa richmond chadema walishupalia sana kumkubali lowasa ni kula matapishi yao na pia kuwaambia watanzania wao chadema hawachukii ufisadi ila tunadanganya tu ndio mana nashindwa kuamin lowasa kuhamia chadema
Kutoa rushwa ili kuteukiwa au kuchaguliwa ni jadi ya CCM. Hakuna kiongozi hata mmoja CCM asiye mtoa rushwa. Nashangaa kwa nini Lowasa anahambuliwa kwa kutoa rushwa!
Kwa ujumla Hakuna mwana CCM asiye mtoaji Au mpokea rushwa. CCM=RUSHWA
wanajanvi nimekuja na hoja hii kwamba lowasa kuwa rais sina shida lakin kwa nin ana tumia hela nyingi kuhonga honga makanisan na misikitin? "nyerere alisema anayetaka urais kwa kuhonga watu huyo mwogopeni kama ukoma" akijenga hoja kwamba ikulu kuna biashara gani? hela anayotumia kuhonga watu amepewa na nani? na atarudishaje akiwa rais wetu? haya ni maswali ya msingi sana tunatakiwa kuweka ushabiki pembeni namtaka yeye mwenye lowasa aje atujibu kwa ufasaha kama anataka kuwa kiongoz wetu kwa sabab ikulu ni mahali pa takatifu haiwez kuwa pango la walanguz lowasa anachofanya ni ulanguz mkubwa ili aingie ikulu. nawasilisha.

kinachogomba ni matumiz ya fedha kuendea safar yake ya kuwa rais sadaka sio shida anachofanya lowasa na mambo aliyofanya ni zaidi ya sadaka ametoa hela nyingi kwa vikundi vya kwaya kwaya na hela izi anatoa wap? hii ndio hoja kama unajua kisima anachotumia lowasa kuchota hiz hela utuambie
Raisi wa monduli anahangaika bure raisi ajaye ni Dr slaa ndo nyerere wa pili
Acha kuogopa a.k.a unafiki. EL hafai kuwa rais wa nchi hii kwa sababu baadhi ni hizo ulizozitoa kwenye main thread. Tulisha mtupa jalalani kwa kuwa alithibitika kuwa ni takataka. Leo afae kugombea urais kwa usafi upi? Tusishawishiane kurudi vyooni kufuata vyakula tulivyovitupa kutoka matumboni mwetu baada ya kuvitupa kwa namna ambayo tumeumbwa. Think out of the Box! Tumeng'ang'ania Lowasa! Lowasa! kama vile wengine hawawezi!
utajiri wake ndo huupesa anazotoa anapewa na marafiki zake Lowasa ni masikini tu hana pesa yoyote
wewe mwenyewe umehongwa unatumia na ccm kama taulo la gesti.lete ushahidi wa mtu hata mmoja aliehongwa na Lowasa
umehongwa kiasi kumtetea huyu mchafu mwenzako .lowasa anaombwa kusaidia na wenye hizo taasisi hatoi rushwa walio chapa hadi ma T-shirt hamuwaoni ila lowasa tu. acheni chuki? wapi lowasa katoa rushwa? kuna watu wanajinadi wazi wazi hamuwaoni ila lowasa tu. acheni hofu mnaogopa nini. na ni kweli jamaa akipita wapiga dili wote watakuwa hatarini.mwacheni akakataliwe kwa kura halmashauri kuu.
View attachment 219743
na huyu mwinzi mwenzako ni kijana
wewe mwenyewe umehongwa unatumia na ccm kama taulo la gesti.
Hizo mvi ni za asili sio uzee
kumbe ndo mnavyomupa moyo huyu raisi wa monduli.Hizo mvi ni za asili sio uzee