Unamaana kuwa tunapotoa sadaka kanisani tunahonga? Msianzevkutuletea hoja mfu humu jamvini! Sadaka ni sehemu ya ibada takatifu. Narudia tena ili iwangie akilini jitahidini kujifunza dhana ya utoaji hii ni ibada takatifu na injili ya kweli. Lowassa alijunza hili yangu akiwa shule ya jumapili. Mbegu ile ilishaota na kusambaa.
Nguvu ya kisiasa aliyonayo Leo Lowassa ni matokeo ya ibada hii takatifu. Kuna baadhi ya watumishi wa Mungu wanalifahamu hili Wakirsto kwa Waisilamu. Kwa hivyo katika mapito anayoputia Edward ni ya kawaida kabisa.
Hata kwa nabii Isah alishajua kuwa ndugu yake Wa karibu Yuda angemsaliti lakini hakuna kilichomzuia Yesu kushinda majaribu Yale!
Zile pesa alizopiga kwenye Richmond atazipeleka wapikinachogomba ni matumiz ya fedha kuendea safar yake ya kuwa rais sadaka sio shida anachofanya lowasa na mambo aliyofanya ni zaidi ya sadaka ametoa hela nyingi kwa vikundi vya kwaya kwaya na hela izi anatoa wap? hii ndio hoja kama unajua kisima anachotumia lowasa kuchota hiz hela utuambie
Zile pesa alizopiga kwenye Richmond atazipeleka wapi
Wewe amewahi kukuhonga?thubutu,huna hata hadhi ya kugusa kamba za viatu vyake
usipanic tuliza akili sikusema kuwa ni rais hoja ni kwamba yeye kama lowasa kuwa rais haina tatizo uwezo anao ndio mana kichwa habar hii wala haimanish yey ni rais. ww ina onekana huwa husomi kilichoandikwa badala yake unaishia kweny kichwa cha habar
wanajanvi nimekuja na hoja hii kwamba lowasa kuwa rais sina shida lakin kwa nin ana tumia hela nyingi kuhonga honga makanisan na misikitin? "nyerere alisema anayetaka urais kwa kuhonga watu huyo mwogopeni kama ukoma" akijenga hoja kwamba ikulu kuna biashara gani? hela anayotumia kuhonga watu amepewa na nani? na atarudishaje akiwa rais wetu? haya ni maswali ya msingi sana tunatakiwa kuweka ushabiki pembeni namtaka yeye mwenye lowasa aje atujibu kwa ufasaha kama anataka kuwa kiongoz wetu kwa sabab ikulu ni mahali pa takatifu haiwez kuwa pango la walanguz lowasa anachofanya ni ulanguz mkubwa ili aingie ikulu. nawasilisha.
nani amkamate? serikali ipi? huyu bwana ameiweka serikali ya kikwete pamoja na ccm mfukon
kamuhonga nani! Una ushahidi?wanajanvi nimekuja na hoja hii kwamba lowasa kuwa rais sina shida lakin kwa nin ana tumia hela nyingi kuhonga honga makanisan na misikitin? "nyerere alisema anayetaka urais kwa kuhonga watu huyo mwogopeni kama ukoma" akijenga hoja kwamba ikulu kuna biashara gani? hela anayotumia kuhonga watu amepewa na nani? na atarudishaje akiwa rais wetu? haya ni maswali ya msingi sana tunatakiwa kuweka ushabiki pembeni namtaka yeye mwenye lowasa aje atujibu kwa ufasaha kama anataka kuwa kiongoz wetu kwa sabab ikulu ni mahali pa takatifu haiwez kuwa pango la walanguz lowasa anachofanya ni ulanguz mkubwa ili aingie ikulu. nawasilisha.
Ajabu amewahonga hata UKAWA ambao walimpa jina la Fisadi nakusababisha ashindwe kuwa waziri mkuu. Chadema wako kimya kabisa juu ya Lowassa na ufisadi wake! Naam, ela ilimuuza bwana yesu sembuse Chadema na ukawa(ukiwa). Tz tunakazi ya kutafuta chama kisafi.
Kamhonga nani? Na wapi?.....Mkuu acha porojo
kwa ww unataka ushahidi gani hasa? usiweweseke lowasa atajuta kwa nin achagua staili ya kutoa pesa kila kona