Lowassa kuwa rais sawa, lakini kwanini anahonga?

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,806
Reaction score
2,349
wanajanvi nimekuja na hoja hii kwamba lowasa kuwa rais sina shida lakin kwa nin ana tumia hela nyingi kuhonga honga makanisan na misikitin? "nyerere alisema anayetaka urais kwa kuhonga watu huyo mwogopeni kama ukoma" akijenga hoja kwamba ikulu kuna biashara gani? hela anayotumia kuhonga watu amepewa na nani? na atarudishaje akiwa rais wetu? haya ni maswali ya msingi sana tunatakiwa kuweka ushabiki pembeni namtaka yeye mwenye lowasa aje atujibu kwa ufasaha kama anataka kuwa kiongoz wetu kwa sabab ikulu ni mahali pa takatifu haiwez kuwa pango la walanguz lowasa anachofanya ni ulanguz mkubwa ili aingie ikulu. nawasilisha.
 
Sasa asipohonga ataupataje huo urahisi wa kuingia ikulu?

hela anayotumia kuhonga watu atairudishaje? hapo ndipo shida inapoanza na ameanza miaka mitatu iliyopita huyu mzee ni wa kuogopwa kama ukoma
 
Ajabu amewahonga hata UKAWA ambao walimpa jina la Fisadi nakusababisha ashindwe kuwa waziri mkuu. Chadema wako kimya kabisa juu ya Lowassa na ufisadi wake! Naam, ela ilimuuza bwana yesu sembuse Chadema na ukawa(ukiwa). Tz tunakazi ya kutafuta chama kisafi.
 
Aliyekwambia lowassa rais nani?

usipanic tuliza akili sikusema kuwa ni rais hoja ni kwamba yeye kama lowasa kuwa rais haina tatizo uwezo anao ndio mana kichwa habar hii wala haimanish yey ni rais. ww ina onekana huwa husomi kilichoandikwa badala yake unaishia kweny kichwa cha habar
 
Ajabu amewahonga hata UKAWA ambao walimpa jina la Fisadi nakusababisha ashindwe kuwa waziri mkuu. Chadema wako kimya kabisa juu ya Lowassa na ufisadi wake! Naam, ela ilimuuza bwana yesu sembuse Chadema na ukawa(ukiwa). Tz tunakazi ya kutafuta chama kisafi.

mimi siamin kama amehonga chadema wanasubiri ccm watamfanyaje huyu bwana, je watamtosa au atabeba bendera ya ccm na wakimtosa mbadala ni nani? ili wapange shambulizi
 
Wewe amewahi kukuhonga?thubutu,huna hata hadhi ya kugusa kamba za viatu vyake
 
Kuwa kimya ni muda wa tafakari. Muda wa ibada. Ndiyo maana cdm atutaki mafisadi .Wala rushwa na watoa rushwa mam vi. Tunamkusanyia ushaidi na nguvu
Muda si mrefu.
 
Wewe amewahi kukuhonga?thubutu,huna hata hadhi ya kugusa kamba za viatu vyake

lowasa ni mwizi wala hilo halina ubishi, unaposema sina hadhi una maanisha nini?
 
wanajanvi nimekuja na hoja hii kwamba lowasa kuwa rais sina shida lakin kwa nin ana tumia hela nyingi kuhonga honga makanisan na misikitin? "nyerere alisema anayetaka urais kwa kuhonga watu huyo mwogopeni kama ukoma" akijenga hoja kwamba ikulu kuna biashara gani? hela anayotumia kuhonga watu amepewa na nani? na atarudishaje akiwa rais wetu? haya ni maswali ya msingi sana tunatakiwa kuweka ushabiki pembeni namtaka yeye mwenye lowasa aje atujibu kwa ufasaha kama anataka kuwa kiongoz wetu kwa sabab ikulu ni mahali pa takatifu haiwez kuwa pango la walanguz lowasa anachofanya ni ulanguz mkubwa ili aingie ikulu. nawasilisha.

1. Ushahidi?!
2. Wote wanahonga! (Kingunge)
3. Ungeitafuta nafasi hiyo ungetumia mbinu gani isiyohitaji pesa?!
 
Unamaana kuwa tunapotoa sadaka kanisani tunahonga? Msianzevkutuletea hoja mfu humu jamvini! Sadaka ni sehemu ya ibada takatifu. Narudia tena ili iwangie akilini jitahidini kujifunza dhana ya utoaji hii ni ibada takatifu na injili ya kweli. Lowassa alijunza hili yangu akiwa shule ya jumapili. Mbegu ile ilishaota na kusambaa.

Nguvu ya kisiasa aliyonayo Leo Lowassa ni matokeo ya ibada hii takatifu. Kuna baadhi ya watumishi wa Mungu wanalifahamu hili Wakirsto kwa Waisilamu. Kwa hivyo katika mapito anayoputia Edward ni ya kawaida kabisa.

Hata kwa nabii Isah alishajua kuwa ndugu yake Wa karibu Yuda angemsaliti lakini hakuna kilichomzuia Yesu kushinda majaribu Yale!
 
wanajanvi nimekuja na hoja hii kwamba lowasa kuwa rais sina shida lakin kwa nin ana tumia hela nyingi kuhonga honga makanisan na misikitin? "nyerere alisema anayetaka urais kwa kuhonga watu huyo mwogopeni kama ukoma" akijenga hoja kwamba ikulu kuna biashara gani? hela anayotumia kuhonga watu amepewa na nani? na atarudishaje akiwa rais wetu? haya ni maswali ya msingi sana tunatakiwa kuweka ushabiki pembeni namtaka yeye mwenye lowasa aje atujibu kwa ufasaha kama anataka kuwa kiongoz wetu kwa sabab ikulu ni mahali pa takatifu haiwez kuwa pango la walanguz lowasa anachofanya ni ulanguz mkubwa ili aingie ikulu. nawasilisha.

Kamhonga nani? Na wapi?.....Mkuu acha porojo
 
Wewe amewahi kukuhonga?thubutu,huna hata hadhi ya kugusa kamba za viatu vyake

Hawa watu wengine wanatapatapa sana. Ukiwambia waje na.evidence hawana, wameishia tu kupiga kelele kwenye mitandao...
 
Ajabu amewahonga hata UKAWA ambao walimpa jina la Fisadi nakusababisha ashindwe kuwa waziri mkuu. Chadema wako kimya kabisa juu ya Lowassa na ufisadi wake! Naam, ela ilimuuza bwana yesu sembuse Chadema na ukawa(ukiwa). Tz tunakazi ya kutafuta chama kisafi.

Thibitisha mkuu.....acha kuongea kama layman....
 
wanajanvi nimekuja na hoja hii kwamba lowasa kuwa rais sina shida lakin kwa nin ana tumia hela nyingi kuhonga honga makanisan na misikitin? "nyerere alisema anayetaka urais kwa kuhonga watu huyo mwogopeni kama ukoma" akijenga hoja kwamba ikulu kuna biashara gani? hela anayotumia kuhonga watu amepewa na nani? na atarudishaje akiwa rais wetu? haya ni maswali ya msingi sana tunatakiwa kuweka ushabiki pembeni namtaka yeye mwenye lowasa aje atujibu kwa ufasaha kama anataka kuwa kiongoz wetu kwa sabab ikulu ni mahali pa takatifu haiwez kuwa pango la walanguz lowasa anachofanya ni ulanguz mkubwa ili aingie ikulu. nawasilisha.

Lete ushahidi
 
1. Ushahidi?!
2. Wote wanahonga! (Kingunge)
3. Ungeitafuta nafasi hiyo ungetumia mbinu gani isiyohitaji pesa?!

kweli watu wamepofuka kuna taratibu za kufuata kuendea ikulu sio kutembea na minoti kila kona kwa sabab tunataka mtu anayejua shida zetu asitununue ila sis tumnunue yeye
 
Ajabu amewahonga hata UKAWA ambao walimpa jina la Fisadi nakusababisha ashindwe kuwa waziri mkuu. Chadema wako kimya kabisa juu ya Lowassa na ufisadi wake! Naam, ela ilimuuza bwana yesu sembuse Chadema na ukawa(ukiwa). Tz tunakazi ya kutafuta chama kisafi.
. UKAWA ni strategy yao na mtaji wao ni EL. Wanaombea CCM imteuwe awe mpeperushaji bendera ndipo utakaposikia mawe yatakayopigwa. Pia ujue 1) EL ana watu wengi ndani ya chama chake hawampendi au ni maadui zake akiteuliwa wataondoka/watahama kwenda upinzani na kuifanya CCM iwe dhaifu na kushindwa uchaguzi. Wapinzani wake EL wengine wengi wanakubalika kwenye vyama vingine vya upinzani, kwa hiyo wataongeza nguvu kuipiga chini CCM na EL wao. 2) UKAWA wanajua kuwa asipoteuliwa EL wafuasi wake ni wengi, wengine watakwenda upinzani na wengine wataendelea na vita vya ndani kwa ndani wakati wa uchaguzi jambo ambalo litaifanya CCM iwe na wakati mgumu sana na kushindwa uchaguzi. Hata ingawa EL hawezi kupokelewa na vyama vya upinzani. Huu ndiyo mtaji wa UKAWA na wamenyamaza ili CCM ifanye makaosa hayo. CCM ina kazi mwaka huu
 
Duuuh! ona wamasaai wanavyofanya mauaji, wanauhakika Lowassa atakuwa Rais, Sasa ole wenu siku Lowassa akiwa Rais, wamaasai watalisha mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima yooooote tanzania nzima, ikiwezekana watapakia ngo'mbe kwenye meli kupeleka malishoni hadi Zanzibar.
 
wanajanvi nimekuja na hoja hii kwamba lowasa kuwa rais sina shida lakin kwa nin ana tumia hela nyingi kuhonga honga makanisan na misikitin? "nyerere alisema anayetaka urais kwa kuhonga watu huyo mwogopeni kama ukoma" akijenga hoja kwamba ikulu kuna biashara gani? hela anayotumia kuhonga watu amepewa na nani? na atarudishaje akiwa rais wetu? haya ni maswali ya msingi sana tunatakiwa kuweka ushabiki pembeni namtaka yeye mwenye lowasa aje atujibu kwa ufasaha kama anataka kuwa kiongoz wetu kwa sabab ikulu ni mahali pa takatifu haiwez kuwa pango la walanguz lowasa anachofanya ni ulanguz mkubwa ili aingie ikulu. nawasilisha.
Takukuru wanalijua hili? By the way kama ni kutumia pesa wote waliokwisha tangaza nia na ambao hawajaatangaza wanafanya hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom