KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 864
Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu aliyepima mwenyewe akafadhaika akaona kuwa inafaa aachie ngazi, atakuwa tena Mgeni Rasmi katika harambee ya kuchangia kumalizia Ujenzi wa Kanisa la Usharika wa amani lililopo sabasaba Mjini singida, tarehe 27/11/2011. Viongozi wa Kanisa naomba kujua msimamo wenu. UFISADI MBAYA LAKINI PESA YA FISADI TAMUUUUU........... MWANAFALSAFA NASEMA "TUMBO LENYE NJAA HALIJUI SHERIA"
Kwa nini wasimualike TUNDU LISSU???????????????