Lowassa kuwa mgeni rasmi harambe kanisa la KKKT Singida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa kuwa mgeni rasmi harambe kanisa la KKKT Singida

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Isango, Nov 15, 2011.

 1. I

  Isango R I P

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 295
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu aliyepima mwenyewe akafadhaika akaona kuwa inafaa aachie ngazi, atakuwa tena Mgeni Rasmi katika harambee ya kuchangia kumalizia Ujenzi wa Kanisa la Usharika wa amani lililopo sabasaba Mjini singida, tarehe 27/11/2011. Viongozi wa Kanisa naomba kujua msimamo wenu. UFISADI MBAYA LAKINI PESA YA FISADI TAMUUUUU........... MWANAFALSAFA NASEMA "TUMBO LENYE NJAA HALIJUI SHERIA"
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wamuulize nini maoni yake juu ya muswada wa katiba? Hatutaki porojo za ajira kwa vijana. KATIBA.
   
 3. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kama wameona Edo anawafaa kwa kazi hiyo ya harambee haina tatizo lolote.Waache wamtumie.
   
 4. Malipesa

  Malipesa JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hayo ni maandalizi tu.
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Atahonga makanisa yote hadi akaukiwe na ikulu haingii
   
 6. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Lowasa anajenga jina kupitia makanisa,bado ana ndoto ya kuingia Ikulu.
   
 7. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Nape akisikia habari kama hizi huwa anakosa kabisa usingizi. Anatamani kuleta kitisho cha Al Shabaab kuzuia harambee nchi nzima
   
 8. Amani Nyekele

  Amani Nyekele Senior Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Rafiki yangu Isango naona umebandika ukasepa!! Mhe. Lowassa ni muumini wa kanisa la KKKT kwa hiyo kwa maoni yangu! sioni tatizo muumini kusaidia kukusanya matoleo maalumu (Harambee) kwa ajili ya kanisa lake..!! Lakini ni mahakama gani iliwahi kuthibitisha kuwa Mhe. Edward Lowassa ni fisadi?? Jiandae na wewe ukachangie ujenzi wa kanisa wacha majungu majungu!!!
   
 9. D

  Dopas JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Du! Naona anajitahidi kujisogeza kwa wadau wa kura 2015, misikiti ataanza lini kuwa mgeni rasmi kuchangisha? MS na na anti Fox tupeni habari.
  Lakini mbona hizo tarehe zinagongana na kikao cha NEC, au atakuwa amekwishamuvuzishwa gamba kadiri ya Nape's philosophy ya kuvua gamba? Mwanza tulisikia alikuwa na kikao siku moja kabla ya harambee cha 'kugawa mlungula'??? akiwepo mzee wa kanisa dk. HUSEIN BASHE!!!!!, Singida waandae 'matumbo', bila shaka kamati ya ufundi itatangulia nakukaa jioni moja maeneo ya kanisa hilo.
   
 10. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  ...Kwa wale wasiojua, RC kule ni mtu wake wa karibu sana, kuna kaundugu flan kiukoo so sishangai...!!
   
 11. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nawewe sasa unatuzingua sasa RC na kanisa vina uhusiano gani???Mi ninachosema muacheni lowassa naona anaamini makanisa ndio yatamtoa!
   
 12. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Huyo msomali Bashe babake si sheikh mkuu wa nzenga na yeye mwenyewe pia ni msomi kutoka Ununio islamic seminary naona Watampeleka LOWASSA wa watu msikitini pia!na bashe lazima aje kuwa waziri 'mzee' wa maamuzi magumu akifanikiwa!
   
 13. kawakama

  kawakama JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  wewe ulitaka awe nana sasa? hebu acha ushabiki wa kijinga na wa kisiasa,jenga hoja
   
 14. J

  Jonathan Kiula JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ikiwa Lowasa ni fisadi(mwenye dhambi) je wewe ni mtakatifu? binafsi sioni ubaya Lowasa kuitwa kwenye harambee ya kuchangia kanisa kwasababu (1)yeye ni muumini wa kanisa hilo(KKKT) na kama anachangia harambee za ujenzi wa misikiti mahekaku nk ni kwasababu yeye ni sehemu ya jamii ya watanzania ambapo kuna watu wenye dini mbalimbali na wasio na dini (2)wenye afya hawahitaji tabibu bali walio wagonjwa
   
 15. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  VOTE FOR LOWASSA 2015!!! Ntampigia kura awe na CCM au UDP, TLP, DP, NCCR, CHADEMA , CCM, CCJ, CCW, CCT, CCZ, TANU, TAA, TANU, ASP, e.t.c
   
 16. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  hata mimi naona anajisogeza sogeza kuingia patamu pa tanzania. Si mbaya, namualika na kwetu Ukerewe maana maana KKKT hapa hawana kanisa zuri. japo atugaie tumilioni kumi tu nyengine tutaongezea kutoka kwenye pesa zetu za uvuvi japo serikali inasema ni uvuvi haramu kwasababu tunatumia nyavu ambazo wameziingiza wao kutoka nje na bado wakatoza ushuru hao waliozileta
   
 17. D

  Danniair JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwacheni akimbilie huko, anafanya ya Gamanywa, Kakobe na akina Mrema na Sumaye. Tehhhhhhhh teh teh.
   
 18. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Anakuja kwa kasi akitumia mlango wa makanisa eeh..
   
 19. D

  Danniair JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni ile mahakama inayotoa hukumu ya miaka 2 kwa mafisadi kama Yule jamaa wa BOT? Kama ni hiyo akae tu hivi hivi tutamhukumu kwa maneno yetu.
   
 20. afrolife

  afrolife Senior Member

  #20
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 158
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 45
  nyie shangaeni tu ... mwenzenu ndo anawaacha huyo!
   
Loading...