assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Soon zitaanza kwa wagombea mbalimbali wa urais.
Imagine Lowassa kwenye mdahalo huku anatetemeka na akipewa maswali magumu itakuwa hatari. Magufuli, Mamana Mughwira wako vizuri
Option
Kukimbia debates zote au kutuma mwalilishi like Mbowe,Mbatia ama Lissu.
Sema ukweli hata kama unauma.