simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,792
- 9,724
Rais wa Zanzibar in waiting maalim Seif pia kunguruma.
Huyu fisadi anaongea nini kama vipi alete kwanza pesa zetu alizoiba ndipo alete porojo zake hizi.
sasa ng'ombe ndo mafanikio mkuu?,ile si ni mifugo tu
Huyu fisadi anaongea nini kama vipi alete kwanza pesa zetu alizoiba ndipo alete porojo zake hizi.
No its not!
Huyu ndiye mtu tuliyemchagua
Kama kuwa na ng'ombe ni mafanikio bado anahangaikia nini?
Siku ya tarehe 8/11/2015 Mhe. Lowassa atafanya mkutano wa hadhara Jangwani kuanzia saa 8 mchana mpaka 12 jioni
Mkutano huo pia utajumuisha viongozi wa UKAWA na wabunge wake wote.
Si ya kukosa!! Wooote mnakaribishwa.
Ataongea dakika ngapi?
So atatangazwa kuwa rais wa JMT in ur/our life time????
Huyu fisadi anaongea nini kama vipi alete kwanza pesa zetu alizoiba ndipo alete porojo zake hizi.
Hata akisema suuu inatosha.Ataongea dakika ngapi?,