Lowassa Kuongea Na Watanzania Jangwani November 8, 2015

Lowassa Kuongea Na Watanzania Jangwani November 8, 2015

Huyu fisadi anaongea nini kama vipi alete kwanza pesa zetu alizoiba ndipo alete porojo zake hizi.
 
Acheni mizaha. Mwacheni yule mzee apumzike na ale hiyo hela yake iliyobaki. Mumemtapeli hizo Bilioni 10 alizopokea Mbowe inatosha
 
Siku ya tarehe 8/11/2015 Mhe. Lowassa atafanya mkutano wa hadhara Jangwani kuanzia saa 8 mchana mpaka 12 jioni
Mkutano huo pia utajumuisha viongozi wa UKAWA na wabunge wake wote.
Si ya kukosa!! Wooote mnakaribishwa.

Wacheni kudanganya watu.

Lowassa hawezi kuongea zaidi ya dakika 10.
 
mi nilitaka aweke fanikio moja baada ya jingine ili nipate kuyatungua moja baada ya jingine

Unamaanisha ukiyatungua kulinganisha na yakwako?
Ok, moja ana ng'ombe wa grade wenye wastani wa tani kwa ng'ombe elfu tatu.Tungua hiyo ukilinganisha na mafanikio yako.
 
Apewe uwenyekiti wa Chadema apite mikpani kujenga Chama halafu tukutane 2020

Kama kuna siku umetumia akili katika kuchangia basi ni leo . Siku chache zijazo utakuwa sio jingalao tena
 
Last edited by a moderator:
machadema si ndo walimwita fisadi,,,,,,,,,,muulize lissu

ccm waliiga wimbo wa chadema

Kwa hiyo CHADEMA ndio waliomtoa kwenye uwaziri mkuu ??? Sio CHADEMA ndio waliiga wimbo Wa CCM ??
 
Siku ya tarehe 8/11/2015 Mhe. Lowassa atafanya mkutano wa hadhara Jangwani kuanzia saa 8 mchana mpaka 12 jioni
Mkutano huo pia utajumuisha viongozi wa UKAWA na wabunge wake wote.
Si ya kukosa!! Wooote mnakaribishwa.

Wameshakataliwa hakuna mkutano wa aina yoyote utakaoruhusiwa
 
Unamaanisha ukiyatungua kulinganisha na yakwako?
Ok, moja ana ng'ombe wa grade wenye wastani wa tani kwa ng'ombe elfu tatu.Tungua hiyo ukilinganisha na mafanikio yako.
sasa ng'ombe ndo mafanikio mkuu?,ile si ni mifugo tu,

EDIT:mimi nina wake watano mpaka sasa,hili ni fanikio kubwa sana kwangu
 
Back
Top Bottom