Ni vizuri akinyang'anywa ili tuendelee mbele.Serikali kupitia waziri wa ardhi nyumba na makazi, imetangaza uamuzi huo bungeni wa kumnyang'anya shamba la makuyuni lililopo monduli, waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond ndugu Lowassa, na kuwagawia wananchi wa eneo hilo.
Chanzo: Jambo leo
Mashamba kwanza halafu Ranchi za Taifa.......na kote huko haponi, halafu ndio tufikirie hilo !Wanaotumiwa kupewa nyumba visivyo halali hawanyang'anywi?
...bado yule aliyepora Ardhi ya Magereza na wana Kijiji kule Kibaigwa, Mjumbe wa kamati kuu chadema !Hii habari imeandikwa na magazeti kama matatu hivi na TanzaniaDaima likiwemo.
Tutawanyanga`anyaWanaotumiwa kupewa nyumba visivyo halali hawanyang'anywi?
Walio na mashamba makubwa ilhali wanashindwa kuyaendeleza watashughurikiwa wote bila ya kujali nafasi zao.. hii ni kwa mujibu wa sheria ya ardhi namba 5 ya mwaka 1999.mbona yapo mengi tu alijimilikisha kwa kutumia madaraka yake? Sumai je?
Hapo ndiyo watamjua Lowassa ni nani. Eti wamnyang'anye shamba. Thubutuuuuu. Hivi Lowassa mnamjua mnamsikia?
Bahati mbaya na hilo likitokea na hapo pia yumo.Wanaotumiwa kupewa nyumba visivyo halali hawanyang'anywi?
Mdogo mdogo na uelewa mdogo wa #hapakazitu naona tutafikia point hata mwenye magari matatu anyang'anywe mawili ili wagawiwe wasio nayo.
Kuna watu ukimmilikisha kiwanja leo kesho anakiuza na saa nyingine sio hata kwa nia mbaya, kuna mtu mwingine anafurahi kuona shamba lake lina ng'ombe 1,000 wakati wengine wanao uwezo zaidi lakini akiwaona ng'ombe 10 tu anaridhika. Serikali ingejiuliza kwanza ni nini chanzo cha baadhi kumiliki ardhi kubwa na wengine kukosa na kama walifuata taratibu kuipata. Tukumbuke nchi yetu tangu uhuru haijawahi kukaa hata siku moja bila serikali na tena ya chama hicho hicho.
"Ninayo hati hapa ya shamba la Makuyuni-Monduli,Arusha imesainiwa na Lowassa nasema tutairekebisha ili shamba hilo tuligawe kwa wananchi,Shamba hilo wakati wa rais Mkapa lilitaifishwa kutoka kwa mfanyabiashara Stein lakini Lowassa akalichukua."William Lukuvi bungeni jana jioni.
tayari wameshalichukua ama vepe naona heading imechangeSerikali kupitia Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, imetangaza uamuzi huo bungeni wa kumnyang'anya shamba la Makuyuni lililopo Monduli, Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond ndugu Lowassa, na kuwagawia wananchi wa eneo hilo.
Chanzo: Jambo leo
Atafanya nini mbele Magu na vyombo vya ulinzi?Hapo ndiyo watamjua Lowassa ni nani. Eti wamnyang'anye shamba. Thubutuuuuu. Hivi Lowassa mnamjua mnamsikia?
Mbona haya yalishajibiwa toka wakati wa kampeni?Je atanyang'anywa sababu ni Lowassa au kwa vile haliendelezwi?
Wanyang'anywe wote sio lowassa ni viongozi wengi wana maeneo Makubwa wameyaweka Bila kuyaendeleza.