Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 417
Rais mtarajiwa hawezi kushiriki mkutano wa kizushi huo. Mkutano huo umeandaliwa rasmi ili kujipima nguvu na ule wa m4c.
Uamshokeshahamia misikitini tena?
Kimbunga Nape alikwenda na Mkapa kufunga kampeni na Lowasa siku hiyo alikuwepo, Nape akaongea kauli za kujikosha kwa Lowasa, inshort Nape ni sisimizi tu kwa Lowasa.
[h=3]MKAPA ATUA ARUMERU KUFUNGA KAMPENI ZA CCM[/h]
[h=3][/h]
Rais na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa (kushoto) akiwa kwenye chumba cha kufikia kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) baada ya kupokewa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kushoto) leo asubuhi. Wa pili kulia ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Kwani ata umeme ukiwepo nani mwenye mda wa kukaa kuangalia upuuzi mkuu...fanya tathmini yako leo uone ni watu wangapi watafatilia huu mkutano kwenye maTVtanesco wakitaka wavuliwe magamba wakate umeme. hahahaaaa...hii nchi bana!. chadema tanesco wanatukatia umeme lakini ccm umeme unakuwepo mwanzo mwisho.
Habari zilizokufikia hazijasema kama jk atakuwepo!?
tanesco wakitaka wavuliwe magamba wakate umeme. hahahaaaa...hii nchi bana!. chadema tanesco wanatukatia umeme lakini ccm umeme unakuwepo mwanzo mwisho.