Lowassa kukaangwa kama Yesu!

Kufananisha mtu mchafu na Yesu ni kukosa adabu na heshima.
 
Katika kumtafuta rais kitu cha kwanza ni kuweka utaratibu, kanuni na sheria. baada ya hapo tunamtafuta mtu atakeyesimamia hayo tuliyokubaliana na kama anashindwa anaondolewa. kama anakiuka anashtakiwa.
Tusitangulize mtu ili aje atuwekee sheria zake yeye. sheria tunaziweka sisi. malengo tunayaweka sisi. dira tunaiweka sisi. halafu tunamwambia mtu kasimamie haya kikamilifu.
Mnaomtaka mtu mmempa wajibu gani? Kwa sababu mmemwona mahali kawa mkali kidogo tu basi ndo mnamshobokea?
Msimfanye Mtu Kamababu Wa Samunge na kikombe cha shilingi mia tano (Ben Saanane/leo)
 
....
:israel:
Sio kama Yesu bali kama lucifa... Uwe unaangalia sehemu ya kumuweka Yesu Bwana wetu! He is holly, he is mighty and he is so clean to be compared in any way with any one else....
 
Ila huo mpango wa ccm ni kiboko ... nimeukubali sana ... Hapo ni zaidi ya kumkaanga ... ila kwangu itakuwa habari njema sana kama wote sita wale watakuwa wameenda na maji.
 
Lowasa na alijue hili jua lizame lisizame ,ameshafunja kanuni kiasi cha kupitiliza na yeye analijua hli,anachofanya lowasa sasa hv ni fujo za kisiasa na kamwe chama hakita muonea huruma,eti lowasa agakigawa chma mnaimbishwa kama chiriku na nyie mnaimba,lowasa gani mwenye ubavu wa kukigawa chama hyu ambae baada ya kusomewa mashtaka yake ya richmond bungeni yeye badala ya kujibu hoja akakimbilia kuandika barua ya kujiuzuru alafu bosi wake akaitia saini barua yake ndo lowasa hiyu mnae sema atakigawa chama,mnaofikiria lowasa atakigawa chama ni wapjjzi kuliko upuuzi wenyewe,na hata rostam analijua hili pamoja na kuwa tajiri namba moja tz bdo alishindwa kukibomoa chama akaishia kujiuzulu ubunge.
 

Sometimes I tend to think there are quite few great thinkers in JF! Jesus, Lowassa, CCM?? Really?
 
Yamepita ya ACT sasa kila uzi ni Lowasa.Kama anafaa wananchi wataamua October.
 

Eti "ccm mnajaribu........". People are awesome! Yaan unajitoa kwenye track ya uanaCCM ili kutisha watu, si ndio??


Wewe shukuru tu kwamba emeshachuma vyema kwa #Tupatupa huyo (lowasa).

Na kama hujajenga kipindi hiki, basi hesabu umasikini maisha yako yote.

Kwaberi yakutokuonana bwana Lowasa & wapambe wako .
 
sasa kuna kitu sijaelewa ina maana wana huo mpango wa kurefusha kifungo hadi lini?au ndio hakutakuwa na mgombea kabisa toka upande huo?sijaelewa elewa kabisa hizi fununu

wana mpango wa kurefusha kifungo kwa mwaka mzima. kwa kuwa uchaguzi unafanyika oktoba, kifungo kikiisha atakuwa tayari amepoteza haki yake ya kugombea urais. hao ndio CCM na ushetani wao.
 
Wewe unakilimbitwa ... si bure! Unaweza kuthibitisha hizo hela alizozitoa? nani amepata fedha kutoka kwa Lowassa ?.... Propaganda zenu za kipuuzi zimeshtukiwa ...
 
Kwa hiyo hata wale makada wengine waliosimamishwa nao wanakaangwa??

ndiyo wanakaangwa wote ila target kuu ni lowasa...angekuwa hayumo kundini, kifungo kingelikwisha hitimishwa siku nyingi sana.
 

Kwa comments hizi bado kuna kazi nzito!
 

kama kweli mna jeuri hebu kateni jina lake muone kitakachowafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…