Lowassa kukaangwa kama Yesu!

Kwa hiyo hata wale makada wengine waliosimamishwa nao wanakaangwa??
 
Watu wale wale propaganda zile zile Eti Lowassa ni Mchafu! Kuliko nani ndani ya CCM? Hao Beneficiaries wa ESCROW, UJANGILI, SEMBE, EPA, RICHMOND/DOWNS/SYMBION? ... Nani asiejua kuwa baadhi ya Mapapa ya CCM hawamtaki EL kwakuwa wanaogopa atawalipizia kisasi? Kifungo hutolewa na Mahakama? CCM imegeuka mahakama? CCM maslahi wajiandae kwa permanent damage ...
Tatizo lowasa hasafishiki.ni mchafu kuliko uchafu wenyewe.
 
Mkuu mambo ya kuingiza jina la Yesu unakosea unaweza kuzua mjadala wa kidini uwa nacheka sana wafuasi wa Chadema kuwa wasemaji wa Lowassa.
 

Watanzania sisi siyo wajinga wewe rockspider hatununuliwi kama mafungu ya mchicha sokoni.hivi unafikiri hatuoni huyo lowasa anavyotoa mapesa kununuwa watu? Ametudharau sana watanzania huyu mtu hawezi kutudhalilisha kiasi hiki.uongozi haununuliwi kwa rushwa.Lowasa Big NO hakubaliki.
 
Bora tuongozwe na Fisadi aliyetuibia na akawekeza hapa kuliko kuwa na viongozi mafisadi waliotuibia na hatujui wamewekeza wapi!
Mkuu amewekeza kwenye kitu gani coz huku mtaani kwetu kuna vijana wengi hawana ajira niwapaeleke hata wakapate mkate wa kila siku,
"Hopeless is not hope"
 
Mkuu amewekeza kwenye kitu gani coz huku mtaani kwetu kuna vijana wengi hawana ajira niwapaeleke hata wakapate mkate wa kila siku,
"Hopeless is not hope"[/QUOTE
Wewe unataka Mkate wakati hutaki kujishulisha sio?
 
Anayemfagilia lowasa si bure......mtakuwa mmerogwa tu.
 
Lowasa amekuwa mwiba mkali kwenye koo la ccm, hautemeki haumezeki.
 

Hivi UKAWA nako kuna wavuta bangi kama wewe? Hasara hii.
 
Eti Lowasa awe Rais wa nchi hii!!!?? Nani kawarogaa?? Watu wengine mnatia huruma kwa jinsi mnavyoongozwa na njaa zenu!!! Huyo Lowasa wenu mpimeni pia nje ya ccm muone anguko linavyomkuta!
 

Huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono.
 

Au Lowassa amekuwa Mungu kiasi kwamba CCM lazima wampitishe?

Kwa nini autafute U-Rais kwa gharama yoyote? Itakuwa rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko Kamati Kuu ya CCM kupeleka jina la Lowassa kwenye Halmashauri Kuu ya CCM.

Kama kweli ana umaarufu kiasi hicho, kwa nini asianzishe chama chake ili wafuasi wake waende huko?
 
huwa najiulizaga kwanini hadi leo lowasa hajawaambia watanzania kwamba anahuskaje katka richmond na masoo yake mengine,waige mfano wa marekani ukitaka kugombea urais hakikisha umsafi kwelikweli, halafu huyu lowasa anaonekana ni rafiki wa karibu na mafisad wote wa tanzania.watanzania wenzangu tusijae matope kichwani kiasi cha kumtetea lowasa namna hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…