Yaani!Wadau, Kama Lowasa ni fisadi au sio Fisadi It is Immaterial kwa sababu tuhuma alizonazo hazijathibitika.
Nimefurahishwa sana kwa courage yake ya kuanzisha TV Arusha, Najua wengi mtasema mengi kuhusu lengo na nia yake ya kufanya hivyo ila the bottom line ni kwamba ameanzisha kitu ambacho kita provide ajira kwa watanzanian, kitasaidia kuchangia katika uchumi wa Tanzania. ..Kwa hilo namsifu sana sana na namuunga mkono mia kwa mia. Kwa mtizamo wangu ni afadhali fisadi anaeanzisha projects zitakazowapatia Watanzania Ajira kuliko Fisadi anaeenda kulundika hela zake Nje.
Mimi naiona hii kama creativity ha hali ya juu na entrepreneurial attitude ambayo ni muhimu kwa taifa hili.
Ningekua rais wa nchi hii, ningetafuta legal avenue kutoa incentives kwa watuhumiwa wa ufisadi watakaoanzisha viable projects zao hapa nchini wapewe ahueni fulani katika kesi zao, hata ikibidi kuwasamehe ningefanya hivyo kwa wale watakaoonyesha sincerely kuwa wameanzisha project za maana na hawafichi fedha nje ya nchi.
Nomba mnielewe nikisema hivi sihalalishi Ufisali La Hasha ila naangalia tu faida na hasara katika uchumi wetu (multiplier effect). Kwa sasa kama ni wizi tayari umefanyika na fedha zimehamishwa ziko nje ya nchi, Hakuna Faida yeyote tunayopata kama nchi kutokana na pesa iliyofichwa Swiss. Kwanini tusitoe Incentive kwa hawa jamaa kuja Ku Invest hapa Tanzania na kusaidia kukuza Uchumi? Money is Money it does not matter whether it was obtained through alleged Ufisadi or Not, the best way forward is to make the most out of the situation
Hongera Lowasa Niko pamoja na wewe, Nawakaribisha na wengine kuiga mfano wake.
Mungu Ibariki Tanzania.
sasa wewe kuanzisha kituo cha tv ni ubunifu? umetumwa hapa? haya tumekusikia kwaheri!Wadau, Kama Lowasa ni fisadi au sio Fisadi It is Immaterial kwa sababu tuhuma alizonazo hazijathibitika.
Nimefurahishwa sana kwa courage yake ya kuanzisha TV Arusha, Najua wengi mtasema mengi kuhusu lengo na nia yake ya kufanya hivyo ila the bottom line ni kwamba ameanzisha kitu ambacho kita provide ajira kwa watanzanian, kitasaidia kuchangia katika uchumi wa Tanzania. ..Kwa hilo namsifu sana sana na namuunga mkono mia kwa mia. Kwa mtizamo wangu ni afadhali fisadi anaeanzisha projects zitakazowapatia Watanzania Ajira kuliko Fisadi anaeenda kulundika hela zake Nje.
Mimi naiona hii kama creativity ha hali ya juu na entrepreneurial attitude ambayo ni muhimu kwa taifa hili.
Ningekua rais wa nchi hii, ningetafuta legal avenue kutoa incentives kwa watuhumiwa wa ufisadi watakaoanzisha viable projects zao hapa nchini wapewe ahueni fulani katika kesi zao, hata ikibidi kuwasamehe ningefanya hivyo kwa wale watakaoonyesha sincerely kuwa wameanzisha project za maana na hawafichi fedha nje ya nchi.
Nomba mnielewe nikisema hivi sihalalishi Ufisali La Hasha ila naangalia tu faida na hasara katika uchumi wetu (multiplier effect). Kwa sasa kama ni wizi tayari umefanyika na fedha zimehamishwa ziko nje ya nchi, Hakuna Faida yeyote tunayopata kama nchi kutokana na pesa iliyofichwa Swiss. Kwanini tusitoe Incentive kwa hawa jamaa kuja Ku Invest hapa Tanzania na kusaidia kukuza Uchumi? Money is Money it does not matter whether it was obtained through alleged Ufisadi or Not, the best way forward is to make the most out of the situation
Hongera Lowasa Niko pamoja na wewe, Nawakaribisha na wengine kuiga mfano wake.
Mungu Ibariki Tanzania.
Nitashangaa TCRA wakitowa leseni kwa jina ABC TV kwa sababu jina hili tayari linatumiwa na kampuni kubwa ya TV USA, inaitwa ABC a well established company
http://abc.go.com/
Yaani!
Hapa naamini kabisa kuwa wewe unaamini kuwa una make sense.
Mimi Maamuzi yangu Serikali ya JK ni nzuri sana katika Muuundo wake ila tu Watu wanamuharibia sana ingekuwa vyema Rais angeamua kama kule South Africa kila alichonacho aseme ameiba ibaje na watu wataifishwe mali zao zote na wawe raia kama mimi mlalahoi ninayeswali katika katika yaani( ndani ya darasa mtaa fulani) si unajua nasisi tunatafuta sadaka za watu. Sasa hawa mafisadi leo TV kesho TBC kesho watanunua barabara sasa hapo Kasheshe. Ingekuwa Vyema Serikali ya Mseto ingeundwa tukajua moja wale watu ambao wanajiamini wawekwe madarakani kutetea maslai ya nchi siyo ya mtu. Ukizingatia Fika RWANDA uone kulivyo utafikiri kulikuwa hakuna Jinoside kwani kila mtu anajenga nchi yake sasa Rais washughulikie hao bila kujali urafiki na na pia kuhoji hela amepata wapi? ya kumiliki TV juzi juzi umetoka na kashfa leo unaweka TV. OK tunakuachia Asante