sibusiso dlomo
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 691
- 386
Acheni kuficha ushahidi. Kama hamna huo ushahidi mliounadi miaka 8, rudini kwa wanachi mkakanushe hayo mliyonadi. Kasemeni tulimsingizia Lowasa, chadema na wafuasi wake ni waongo, wanafiki na hawaaminiki. Pia semeni kubenea ni muongo na hana ushahidi dhidi ya ufusadi wa Lowasa.
mpelekeni lowasa mahakamani...hizo porojo zako hazina msingiAcheni kuficha ushahidi. Kama hamna huo ushahidi mliounadi miaka 8, rudini kwa wanachi mkakanushe hayo mliyonadi. Kasemeni tulimsingizia Lowasa, chadema na wafuasi wake ni waongo, wanafiki na hawaaminiki. Pia semeni kubenea ni muongo na hana ushahidi dhidi ya ufusadi wa Lowasa.
Kaka hivi kuna mtu ana uhakika kuwa lowassa alikula hela za richmond maana mitambo yao nasikia bado inafanya kazi.....alivyohama chama aliomba afikishwe mahakani ili ukweli ujulikane.....mwakyembe alitoa sijui siku mia mbona kilichotokea na yeye alitoa printout za kusaini mkataba.....kwanini wao hawakuongea kitu....hii serikali bwana mdogo ......
Mwambieni Mbowe, Kubenea na wajinga anaowaongoza wakaripoti polisi ule ushahidi waliounadi miaka 8mpelekeni lowasa mahakamani...hizo porojo zako hazina msingi
Katafute ela ununu sukari maana kwa maneno hayo inaonesha una mda hujanywa chaiHivi wewe, unajua kupiga kelele ni nini? Mbona uko low sana? Hujui hata report ya twaweza ilisema nini halafu unataka nishuke niwe kama wewe ? Sijibishani na majuha. Ila kumbuka tu twaweza walissema katika utafiti kwa sabbu hata kusoma naona hujui, walseme "ccm inaungwa mkono na mijinga na yenye shida kichwani". au hhii TWAWEZA, 2015 imekuchanganya hadi ukanoa mchina? Wewe nenda kwa watu aina yako. Sina muda wa upumbavu huo uanotaka kuleta kwangu. BRN at its worst!
Katafute ela ununu sukari maana kwa maneno hayo inaonesha una mda hujanywa chai
Mwambie aelewe maana yy anadhan twaweza ni kalaika,kumbe vilaza tu kama yy hapoKwani hao twaweza si Miongoni mwa Malofa na Wapumbavu? Au hujui hilo?
Nashukuru umeamua kuaga baada ya kuridhika na kutambua kuwa nyiyi wanafiki na wapumbavu wa chadema ndio mnapaswa kupeleka ushahidi ili Lowasa ashitakiwe la sivyo Mkanushe ule uongo mliousema miaka 8.Hujui kusoma ishia mbali na mimi msukule wa Lumumba wewe!. Kama hwezi kkuelewa hoja inayodajiliwa, huna haki ya kusema. Pumbavu. TWAWEZA, 2015. Tafuta hiyo report ujione wewe jindi unafahamika kimataifa kwamba ni pumbavu.
hizo unazosema hapa ni porojo...serikali ina mamlaka yote ya kuwajibisha wezi....serikali iache kuwalinda mafisadi...imchukulie hatua lowasa Mara mojaMwambieni Mbowe, Kubenea na wajinga anaowaongoza wakaripoti polisi ule ushahidi waliounadi miaka 8
Ukishajua ikusaidie nn
Itabidi iwasubiri Mbowe na Kubenea pale watakapoamua kuupeleka ule ushahidi dhidi ya Lowasa. Polisi haiwezi kuwavamia au kuwakamata mbowe na Kubemea ili iwalazimishe watoe ushahidi walionao. Kutumia nguvu kupata ushahidi sio utawala bora.hizo unazosema hapa ni porojo...serikali ina mamlaka yote ya kuwajibisha wezi....serikali iache kuwalinda mafisadi...imchukulie hatua lowasa Mara moja
Ndio maana wamebaki kubwabwaja tu bila kuchukua hatuaTukitaka kuwashughuligikia mafisadi hakuna atakayepona ndani ya ccm, hata huyo mtumbua majipu naye anatajwa sana. Wanachokifanya ccm ni kuendelea kutawala kwa nguvu ya dola tu. Uwezo wa kumshtaki Lowassa wanao lakini wanachogopa ccm na viongozi wake ni kuwa Lowassa hizo fedha hakuiba pekee yake ilikuwa ni chain ya viongozi, wakienda mahakamani atawataja na ataamuru jaji walete mahakamani kama mashaidi.
Ndio maana wanasema bora liende tu hakuna namna yoyote ya kujinasua zaidi ya kuirudisha Katiba ya Warioba kinyume na hapo itakuwa ni maigizo na ngojera za kutumbua majipu...
Waliuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa na kununua ferry mbovu.Hiyo mahakama ni yenyewe ije upesi.Mkuu usiseme sana. Bado kuna mahakama ya mafisadi wamesema itaundwa mwezi wa 7. Tunaisubiri kwa hamu sana. Tunataka kuona nani atakuwa wa kwanza kufikishwa kwenye mahakama hiyo. Huu mchezo hauwezi kumalizika mpaka mtu ajigeuzie risasi mwenyewe.