Lowassa kapita dirishani kwangu

yeye magufuli huwa anaenda kimya kimya from kuchukua form up to now
 
magufuri akipita kwetu tunamwuitia mwizi na kumpopoa mawe? alikuwa analala Mabibo hostel kwa hawara


Duh aibu sana hiyo mkuu

Katika marofa wote chadema wewe ni namba moja ukifatiwa na mbowe aliuuza chama kwa uroho wa madaraka.Kuwa na hawara ni dhambi na hao mahawra wasingekuwepo ilo neno hawara lingetoka wapi?.kalala huko kwa kuwa ni lijali kama wewe ni nyoka wa kibisa husituaminishe uzuzu wako tulia kama umekufa.
 

Hapo dirishani ndo atapopitia kukuibia. Anajua kuwa hawa ni malofa tu anayageuza atakavyo.
 



Wote ndio walewale..kaja ukawa baada ya kukatwa kama asingekatwa angekuwa wapi acha kudanganya wananchi..uyo ana uchu wa madaraka...angehama tangu alivyojiuzulu uwaziri..sio baada ya kukatwa kwani Ukawa hakuna viongozi wanaoweza kuongoza nchi mpaka aje apewe yeye..,,?
 
Reactions: AAS
Big up lowasa,big up UKAWA mapambano yanaendelea ,tutashinda oktoba 2015
 
Magufuli kila anapopita hawezi kuzomewa. Hata huyo fisadi wako kapita kwenye barabara zilizojengwa na Magufuli

barabara zimejengwa na kodi za wananchi magufuli ana hela za kutujengea barabara sisi,yeye ni msimamizi tu.
 
Magufuli kila anapopita hawezi kuzomewa. Hata huyo fisadi wako kapita kwenye barabara zilizojengwa na Magufuli

barabara zimejengwa na kodi za wananchi magufuli ana hela za kutujengea barabara sisi,yeye ni msimamizi tu.
 
Ajakuachia janga kweli huyo?
Maana jamaa ni mwizi hatari,.
 
tatizo si kukatwa bali ni njia iliyotumika kumkata.

mtia nia Lowassa aliyekuwa anaungwa mkono na robo tatu ya wanasisiem alikatwa kwa kufuata utaratibu?

sasa hao wanaccm ambao bado wapo ccm na wanasubiri kumpigia kura lowassa mtawazuiaje?!! au mtaingia nao kwenye chumba cha kupigia kura ili kuwa'zi'biti?!!
 
utasikia Kesho nae jamaa akaanza kutembea kwa miguu na kupanda bodaboda
 
safari hii ccm wakawadanganye vijijini zaidi....
kijiji kipi mkuu? kila kitongoji kimeshaamka siku hizi na lowassa keshaapa chopa zitatua kila kitongoji na kila mtaa kupeleka ujumbe wa UKOMBOZI WA PILI WA TAIFA HILI TOKA MIKONONI MWA MKOLONI MWEUSI, whether mkapa anapenda or not, khabar ndo hiyo, hataki aache!!!
 
Magufuli kila anapopita hawezi kuzomewa. Hata huyo fisadi wako kapita kwenye barabara zilizojengwa na Magufuli

Barabara zimejengwa kwa kodi za walipa kodi wa Tanzania pamoja na wahisani wa Maendeleo.
 



Kumetumika njia gani kwenye kumkata kwani ilikatwa peke yake.. au tegemeo lako wewe ulijuwa waliogombea wote wale wangebaki wote.. Pale anapita mmoja na ndie raisi wako ajae jipange nyema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…