Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,698
- 11,297
Alikuwa wapi siku zote?
Lowasa anadhani kuwa Watanzania wanadanganyika kirahisi
Magufuli kila anapopita hawezi kuzomewa. Hata huyo fisadi wako kapita kwenye barabara zilizojengwa na Magufuli
Hizo njie za kizamani sana. Alitumia Odinga hakufanikiwa. Alitumia Kiiza Besigye hakufanikiwa. Alitumia Morgan Tsvangirai hakufanikiwa
Nyie wapumbavu na Malofa mtaendelea kuwa vipofu. Ndo maana mnaendelea kudanganywa na akina Mbowe
Lowasa.....lowasa.....lowasa....lowasa.....lowasa....rais....rais.....rais......
Duuu!hizo barabara kumbe kajenga Magufuli!!basi ana fedha nyingi sana huyu mtu.
Lowasa anadhani kuwa Watanzania wanadanganyika kirahisi
Naona wewe umeongezewa mb uzidi kuwapigia kampeni ccmLowasa anadhani kuwa Watanzania wanadanganyika kirahisi
Mkuu naona unahaha kuzuia mafuriko,mkuu wapiga kura malofa wamempokea Lofa mwenzao Lpwassa.Hata uhangaike hapa Jf mtaani malofa wameshamkubali lofa mwenzao.
No matter whether he will bring development or not we will choose Lowasa from UKAWA to show the world that Tanzania is not for CCM only
Alikuwa wapi siku zote?
Atleast ye kashtuka kuliko wale ambao hawana habali kabisaaaa.
Nyie wapumbavu na Malofa mtaendelea kuwa vipofu. Ndo maana mnaendelea kudanganywa na akina Mbowe
Ni taahira anayeamini Magufuli kajenga barabara.Barabara zimejengwa na kodi za wapumbavu na malofa.Magufuli kila anapopita hawezi kuzomewa. Hata huyo fisadi wako kapita kwenye barabara zilizojengwa na Magufuli
Magufuli kila anapopita hawezi kuzomewa. Hata huyo fisadi wako kapita kwenye barabara zilizojengwa na Magufuli
Lowasa anadhani kuwa Watanzania wanadanganyika kirahisi
Alikuwa wapi siku zote?