Lowassa kama Mwai Kibaki

Lowassa kama Mwai Kibaki

HISIA KALI

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
694
Reaction score
109
Mzee Mwai Kibaki ni Rais mstaafu wa Kenya ambaye alitoka KANU na kujiunga na upinzani na kufanikiwa kushinda kuwa Rais wa tatu wa nchi ya Kenya. Huyu alikuwa na umri wa miaka 70 na kitu alipochaguliwa kuwa Rais.

Ni mtu ambaye hakuwa na maneno mengi kwenye hotuba zake lakini ndiye Rais aliyeleta maendeleo makubwa Kenya. Alitumia uzoefu na umakini wake bila maneno mengi kupanga mikakati kabambe na kupandilisha kabisa uchumi wa Kenya.
 
Bado mnaota tu lowassa kua rais msahau rais ni Magufuli
 
Bado mnaota tu lowassa kua rais msahau rais ni Magufuli

Magufuli hakuwa na ndoto ya kuwa rais hivyo hawezi kuwa rais. . . Tumwachie alikuwa na hiyo ndoto maana anajua nini anataka kufanya kwa nchi.
 
Magufuli hakuwa na ndoto ya kuwa rais hivyo hawezi kuwa rais. . . Tumwachie alikuwa na hiyo ndoto maana anajua nini anataka kufanya kwa nchi.

Me nashangaa kwann? Huyu lowassa anaung`ang`ania sana urais
 
Painful question..eeh??

Doom soo doom soo, As he used to say Prof. Lumumba..... PM, stayed in the ccm for 8more yrs, led parliamentary security committee....you never dared point a finger....now has become fisadi.... CCM doom soo, doom soo!
 
I wonder a JF legend like you never pointed a finger against him...mnafiki!!!
 
Lowassa atashinda kwa zaidi ya asilimia 64.... Trust Me
 
Back
Top Bottom