Possibly anaweza kuwa liability!!!!Hahahahaha..
Lowasa ni Asset au liability?
Kwani wewe unajielewa?ndio mana nimekwambia hujielewi
Kuna mambo ya kiasiasa na kuna mambo ya kijamii vitu hivi vikichanganywa madhara yake ni makubwa sana inamana ingetokea mwana ccm kafiwa hairuhusiwi kwenda msibani? Tuache siasa ifanye kazi upande wa siasa.kitendo alichokifanya lowasa kuonyesha bashasha na watu wanaokamata wabunge wa chama chako Lema yupo ndani,mwalimu kakamatwa,lisu anakesi kibao,sugu alikamatwa unaipataje furaha ya kuhag na kinana,kujichekesha mbele ya raisi. even president alishangaa yote ninayowafanyia lakini hajastuka is a miracle.
Lowasa aangaliwe asije akawa usalama akatuchora tu kumbe anadisplay upande wa pili,tahadhari muhmu kwa kuzingatia aliyoyafanya bwana Augustine mrema
watu tunajiandaa na Ukuta wewe unajichekesha na wstu ambao tarehe moja huenda wakatuvunja viuno km si kutufunga bila kesi
lowasa katika mazingira haya smile kwa kinana na magufuli inatoka wapi, it raises more doubt. tusije kusacrife for nothing "km unatraitor#
Usuluishi upi huo kamanda? Madai yenu si kuhusu udikteta, je udikteta umekwisha baada ya lowassa kwenda huko?.. Poleni sana makamanda, mtakoma kumjua Mbowe na Lowassa. Huu ni mwanzo tu.Hakukosea, Wale walialikwa Kimkakati, Unafikiri aliyetuma Mwaliko kwa Lowassa, Salim, Magufuli etc alifanya Hivyo kwa Bahati mbaya? Lowassa amealikwa kwa ajili ya Hatua za Mwanzo za Kutafuta Usuluhishi na Amani ya Nchi
Hizo Ni Siasa za Watu Wazima Huziwezi, Huzijui!Usuluishi upi huo kamanda? Madai yenu si kuhusu udikteta, je udikteta umekwisha baada ya lowassa kwenda huko?.. Poleni sana makamanda, mtakoma kumjua Mbowe na Lowassa. Huu ni mwanzo tu.
Wote hawa n ccm na hamuwez kumuelewa lowasa na chadema....mnataka kutugombanishakitendo alichokifanya lowasa kuonyesha bashasha na watu wanaokamata wabunge wa chama chako Lema yupo ndani,mwalimu kakamatwa,lisu anakesi kibao,sugu alikamatwa unaipataje furaha ya kuhag na kinana,kujichekesha mbele ya raisi. even president alishangaa yote ninayowafanyia lakini hajastuka is a miracle.
Lowasa aangaliwe asije akawa usalama akatuchora tu kumbe anadisplay upande wa pili,tahadhari muhmu kwa kuzingatia aliyoyafanya bwana Augustine mrema
watu tunajiandaa na Ukuta wewe unajichekesha na wstu ambao tarehe moja huenda wakatuvunja viuno km si kutufunga bila kesi
lowasa katika mazingira haya smile kwa kinana na magufuli inatoka wapi, it raises more doubt. tusije kusacrife for nothing "km unatraitor#
lowasa katika mazingira haya smile kwa kinana na magufuli inatoka wapi, it raises more doubt. tusije kusacrife for nothing "km unatraitor#
mkuu nakuheshimu lakin jiepushe sn usije fanana na ile karatasi lain ya roundMkija kukumbuka mtaanza kumuita majina yale mengine yote na wapo watu ambao wataamini kuwa sasa mnasema kweli. Kwa vile mmeamua kubeba gunia la mbigili, bebeni tu ila mlibebe kwa tahadhari kwani kaa la moto siyo pipi!