kidabibiaga
JF-Expert Member
- Apr 4, 2016
- 619
- 161
Lakini kwa maalim na shein ilikua sawa? Nyir watu nyie, na mnauhakika gani ilipangwa? Mazungumzo gani katk sherehe ya watu??Mleta uzi wewe ulitaka kama kaalikwa asiende; na kama akienda asisalimiane na watu kisa ni wa chama chake cha zamani? Kumbe hufahamu kuwa lile tukio lilipangwa vizuri ili kukutanisha "mahassimu" ili kuona kama amani itadumishwa ifikapo sept mosi?
Hivi kweli kuna madhara gani mahasimu kukutana na kusalimiana kwa furaha na bashasha hata kama kuna machungu mioyoni?
Hebu tumuige mzee wetu EL na sisi tuwe tayari kwa maandamani na mikutano ya UKUTA ifikapo sept mosi.