Usidanganyike, hamna wakati chama kipo kwenye hali nzuri kama wakati huu. CCM ni mwendo wa usindi tu, subiri Arumeru ujionee!
Umeniquote vibaya, nimetaja tu DR na sijataja mambo ya Slaa.. Who is Slaa by then!
Hivi mtu anaweza kuumwa stroke?
Naona kwako ni faraja
Kuna tetesi kuwa Mbunge wa Monduli CCM, Edward Ngoyai Lowassa anaumwa sana na amepelekwa matibabu Ujerumani, Mwenye taarifa sahihi atujuze............ nawasilisha.
predicting that edward is in germany ur very right madoro and i said this in one among my comments! Ulichokosea tu ni kwamba alikwenda kwa check up ambazo hufanya kila baada ya miezi kadhaa huko huko ujerumani ila toka jana alishaondoka kuendelea na ziara zake europe kama ratiba haijabadilika atapita equador na qatar!
Hujakosea kusema ni tetesi! Blsd guyz
Predicting that Edward is in Germany ur very right MADORO and I said this in one among my comments! Ulichokosea tu ni kwamba alikwenda kwa check up ambazo hufanya kila baada ya miezi kadhaa huko huko Ujerumani ila toka jana alishaondoka kuendelea na ziara zake Europe kama ratiba haijabadilika atapita Equador na Qatar!
Hujakosea kusema ni TETESI! blsd guyz
Si angeenda Apolo au hataki onana na Mwakyembe
kwani ukiwa ujerumani huwezi kutuma sms?dunia ni kijiji kaka ,mambo yote kwenye ncha ya kidolejuzi si kulikuwa na thread yake humu kuwa sms zake zimekamatwa na takukulu kuhusu kugawa pesa arumeru leo tena yupo ujerumani anaumwa stroke.
Sasa zile mesage za RUSHWa juzi ARUMERu alituma nani?Ni kweli, hii info ipo mitaani toka mid last week
ameuliza kuumwa stroke sio kupata stroke!!!anaweza kabisa kupata stroke...