Lowassa hoi, yupo matibabu Ujerumani anaumwa stroke

Status
Not open for further replies.
lisemwalo lipo,hali ya kiongozi yule ni mbaya hata ukimtizama tu unagundua,nilipata bahati ya kukaa nae karibu mahali hivi karibuni,nilisikitika sana kwa kweli kwa jinsi nilivyomfahamu mheshimiwa kabla na kwa muda mrefu kumuona kabadilika vile roho iliniuma sana,lakini ndio hivyo binadamu sisi si mali kitu ni vema tumrejee mungu na kumuomba sana hii dunia tunapita tu tusijisahau sana.

mungu ampe nafuu haraka.
 
Laana za kumpa SUMU Mwakyembe zinamwandama huyo.Na Mungu analipa hapa hapa duniani
 
Nyimbo. Kilaaa unachomtendea mwenzako ndichoo wanitendea mimii asema BWANA YESU.
 
Mara kadhaa huelekea Germany ikiwa ni sehemu ya clinics zake, hili la kudhoofu ngoja tulifatilie na tujue.
 
hivi mlio karibu nae bado ana kiu ya kupanga magogoni?
 
hivi mlio karibu nae bado ana kiu ya kupanga magogoni?

Kwani kwenda magogoni shida iko wapi? Anayeshi pale sasa hivi ana uzima gani? Mara haishi kudondoka majukwaani...unadhani hizo ziara za kila siku za ughaibuni bure? Mwombeeni EL apone arudi kuendeleza mapambano
 
tuliambiwa mgonjwa hoi humu
halafu tukaambiwa amesimamia zoezi la kumchagua sumari awe mgombea wa ubunge ccm
na sasa tunaambiwa yupo ujerumani mgonjwa
sijui what to believe now

kweli yanasemwa mengi juu yake
 
Tuliambiwa mgonjwa hoi humu
halafu tukaambiwa amesimamia zoezi la kumchagua Sumari awe mgombea wa ubunge CCM
na sasa tunaambiwa yupo Ujerumani mgonjwa
sijui what to believe now

wapambe wake humu walitumabie eti zoezi hilo aliliendesha kwa kutumia remote control zake zilizotapakaa arusha nzima..zikiratibiwa na mwanae wa kumzaa na "mtoto" wake yule wa kigoma mjini..!
 
Juzi si kulikuwa na thread yake humu kuwa sms zake zimekamatwa na TAKUKULU kuhusu kugawa pesa Arumeru leo tena yupo Ujerumani anaumwa Stroke.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom