Lowassa hoi, yupo matibabu Ujerumani anaumwa stroke

Status
Not open for further replies.
Usidanganyike, hamna wakati chama kipo kwenye hali nzuri kama wakati huu. CCM ni mwendo wa usindi tu, subiri Arumeru ujionee!

Umeniquote vibaya, nimetaja tu DR na sijataja mambo ya Slaa.. Who is Slaa by then!

Hivi we Mangi wa wapi lakini. Hizi mbaka waachie kina radhia mtamu na riz na wengine ndugu
 
Kuna tetesi kuwa Mbunge wa Monduli CCM, Edward Ngoyai Lowassa anaumwa sana na amepelekwa matibabu Ujerumani, Mwenye taarifa sahihi atujuze............ nawasilisha.

Predicting that Edward is in Germany ur very right MADORO and I said this in one among my comments! Ulichokosea tu ni kwamba alikwenda kwa check up ambazo hufanya kila baada ya miezi kadhaa huko huko Ujerumani ila toka jana alishaondoka kuendelea na ziara zake Europe kama ratiba haijabadilika atapita Equador na Qatar!

Hujakosea kusema ni TETESI! blsd guyz
 
predicting that edward is in germany ur very right madoro and i said this in one among my comments! Ulichokosea tu ni kwamba alikwenda kwa check up ambazo hufanya kila baada ya miezi kadhaa huko huko ujerumani ila toka jana alishaondoka kuendelea na ziara zake europe kama ratiba haijabadilika atapita equador na qatar!

Hujakosea kusema ni tetesi! Blsd guyz

hizi zako nazo ni tetesi au??

Tupe source please....!
 
Predicting that Edward is in Germany ur very right MADORO and I said this in one among my comments! Ulichokosea tu ni kwamba alikwenda kwa check up ambazo hufanya kila baada ya miezi kadhaa huko huko Ujerumani ila toka jana alishaondoka kuendelea na ziara zake Europe kama ratiba haijabadilika atapita Equador na Qatar!

Hujakosea kusema ni TETESI! blsd guyz

Ahsante mkuu kwa taarifa. Vipi, ndio katika mipango ya magogoni. Inawezekana akakutana na RA?
 
juzi si kulikuwa na thread yake humu kuwa sms zake zimekamatwa na takukulu kuhusu kugawa pesa arumeru leo tena yupo ujerumani anaumwa stroke.
kwani ukiwa ujerumani huwezi kutuma sms?dunia ni kijiji kaka ,mambo yote kwenye ncha ya kidole
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom