Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 19,182
- 31,982
Pamoja sana mkuu wangu usisahau kumwombea Mwakyembe pia.
Eeh Mwenyenzi Mungu, mjalie mwana wako EL apone.
Huruma na Upendo wako umwangazie Eh Mungu ktk kipindi hiki. Apone mwili na akili