Lowassa hoi, yupo matibabu Ujerumani anaumwa stroke

Status
Not open for further replies.
Kuna tetesi kuwa Mbunge wa Monduli CCM, Edward Ngoyai Lowassa anaumwa sana na amepelekwa matibabu Ujerumani, Mwenye taarifa sahihi atujuze............ nawasilisha.
Dah hivi alibadiri walitaja majina au wali generalise!
 
Kwani ile sumu aliyowekewe Mwakyembe ndiyo hiyo hiyo inayumsumbua EL? Ila mimi sitaki afe nataka apone kwani shauku yangu ni kumuona siku moja yeye na best wake wa zamani baba Mwanaasha wakiwa wamevalia zile sare za jela, lazima watapendeza sana.
Makamanda bana:D:D:D
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom