wewe jamaa inaelekea hufuatilii mambo ya siasa ya nchi hii, ile kesi ya Jinai ya kigaidi ya kutengeneza ,Jaji alitoa karipio kali kwa kesi za namna hii
Hivi Duni Haji Yupo Wapi?Maana Ukawa Walikuja Na Uongo Wao Oh Sijui Timu Ya Kampeni Imesambaratika Sasa Naona Wanasambaratika Wao!!Nauliza Tu Duni Haji Yupo Wapi?
Yawezekana ni mwigizaji maana siamini kama kusaini mikataba ile alitishwa kwa bunduki. Mfano angekataa akafukuzwa au akajiudhuru angepoteza nini? Kama alimwogopa mtanzania jk akija alshabab je?