Lowassa hawezi "Magufulika"

Status
Not open for further replies.

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
Wasanii wa Bongo flava wakipiga push up kumuunga mkono Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Karangalala.
 
hv hao wasanii wamefikiria iwapo lowassa atashinda itakuaje!?kuna yeyote kati yao analipa paye?!?
 
nadhani leo ndio katakua kamchezo maofisini
 
Nimekuja kasi nikidhani style ya kutiana. Kweli kukosa sera kubaya hadi mgombea anajinadi kupiga push ups, desperate times
 
mie nikiwa naumwa sitakifanya kazi yoyote hata ya kufikiri, labda urais tu!
 
hv hao wasanii wamefikiria iwapo lowassa atashinda itakuaje!?kuna yeyote kati yao analipa paye?!?

Usisumbuke na watoto wa kiume waliojichubua na kutoboa masikio. Hata Mungu mwenyewe amewasusa na kuwaacha wajiongoze wenyewe. Nchi hii haitajengwa na FIESTA, tunahitaji vichwa vinavyowaza MIRADI na sio MASHAIRI
 
mariaroza mariaroza....mariaaaaaaaaaaaa,,,mariaroza
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…