Lowassa hatafika mikoani kujinadi?

Lowassa hatafika mikoani kujinadi?

Kisesa Yetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2015
Posts
434
Reaction score
344
Kuna kitu nimeshindwa kukielewa..Nimesikia mgombea urais kwa ticket ya Chadema mh Edward Lowassa akisema kuwa anawaomba watu wa Dar wampigie kampeni kwa ndugu na marafiki walioko mikoani..Je hataenda mikoani kujinadi? Je, hii inaweza kuwa na uhusiano wowote na haliyake ya kiafya?
 
hawezi kuimaliza,ataenda baadhi tu.
sasa cuf ndo watafanya kazi ya kutafuta kura,maana mnyika,lisu licha ya kuonekana kujiweka pembeni,watakuwa busy kutetea majimbo yao,akiwemo mbowe pia
 
Amewaomba watu wa Dar es Salaam wamuombee kura mikoani.
 
hawezi kuimaliza,ataenda baadhi tu.
sasa cuf ndo watafanya kazi ya kutafuta kura,maana mnyika,lisu licha ya kuonekana kujiweka pembeni,watakuwa busy kutetea majimbo yao,akiwemo mbowe pia
Hakika Mkuu.
 
Waambie wa mikoani waende wakacheki kwenye website... Hatokuja huko
 
Kuna kitu nimeshindwa kukielewa..Nimesikia mgombea urais kwa ticket ya Chadema mh Edward Lowassa akisema kuwa anawaomba watu wa Dar wampigie kampeni kwa ndugu na marafiki walioko mikoani..Je hataenda mikoani kujinadi? Je, hii inaweza kuwa na uhusiano wowote na haliyake ya kiafya?

Na pale Milenium Tower aliwaomba kina mama wakampigie kampeni.
Hiyo ndo imetoka hiyo
 
Watu tunalia kila siku wahalifu wafungwe jela....lakini sera ya chadema ni kufungulia wahalifu na wabakaji!! maigizo haya sijui yataisha lini
 
Waambie wa mikoani waende wakacheki kwenye website... Hatokuja huko

Jipotosheni wenyewe kwani mna akili! Lowasa amesema kwa kuwa watu wa dar wametokea mikoa mingine wameacha ndugu zao mikoani wamuombee kura kwao! Maana yake ni kwamba kama una mama yako huko mtwara mwambie achague Lowasa!

Kampeni mkoani lesho Iringa nendene mtakutana naye!

Kama na mimi hamjanielewa kamuulizeni katibu wenu kidogo ana akili atawaelewesha!

Ahahahaaaaaa
 
TAARIFA MUHIMU;

Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa mfupi hawakupata fursa ya kusikia hotuba yote aliyopanga kuitoa leo Kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kitaifa za CHADEMA na UKAWA.

Ni habari niliyodokezwa hivi punde...!
 
Jipotosheni wenyewe kwani mna akili! Lowasa amesema kwa kuwa watu wa dar wametokea mikoa mingine wameacha ndugu zao mikoani wamuombee kura kwao! Maana yake ni kwamba kama una mama yako huko mtwara mwambie achague Lowasa!

Kampeni mkoani lesho Iringa nendene mtakutana naye!

Kama na mimi hamjanielewa kamuulizeni katibu wenu kidogo ana akili atawaelewesha!

Ahahahaaaaaa

mkuu kamalizie homework ya kusoma hotuba then ndio uje umuombee kura hapa jamii forum
 
Jamani watu wa dar wana ndugu zao mikoani, kwa hiyo alimaanisha kuwa watu wa dar wawahimize ndugu zao wa mikoani ili wampigie kura yeye..
 
Lowassa na afya ile akizunguka mikoa yote akamaliza bila kuzimia au kuanguka najibeba....worst case tunaeza okota maiti..
 
Magufuli aluteua timu ya watu 32 kuzunguka mikoani kumuombea kura. Ina maana yeye amebaki Dar?
Juzi Lowassa aliwaomba wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wamuombee kura kwa waume zao. Ina maana hajawaomba au hatawaomba wanaume kura? Si kila kitu utatafuniwa, chemsha ubongo wako!
 
Back
Top Bottom