lowasa teh teh teh namuunga mkono bora azikusanye hizo naye 71 maana, najua wakidhamilia zitatimia ukiangalia wapinzani wapo zaidi ya 50, kuna wanaharakati walioko ccm ni kama 7, then kuna wanaodhani baraza la mawaziri likivunjwa wao ndo watapewa hivyo wako kama 30 nao wanataka baraza la mawazili livunjwe, jumla zinakuwa kura 87 weraaaaaaaaaaaaa,