Lowassa hasomi ripoti ya kamati, anakusanya saini 71?

lowasa teh teh teh namuunga mkono bora azikusanye hizo naye 71 maana, najua wakidhamilia zitatimia ukiangalia wapinzani wapo zaidi ya 50, kuna wanaharakati walioko ccm ni kama 7, then kuna wanaodhani baraza la mawaziri likivunjwa wao ndo watapewa hivyo wako kama 30 nao wanataka baraza la mawazili livunjwe, jumla zinakuwa kura 87 weraaaaaaaaaaaaa,
 
pinda-bungeni-mawazo.jpg
:tape::help::help::help::help::help::help::help::help::tape::Cry::Cry::Cry::Cry:
 
bado kura 7 tu mnadhani zitashindikana hizo.....? mtoto wa mkulima sijui yupo kwenye hali gani saiv kama hajajifungia analia:shetani:
 
Usipumbazike na giza ukanya njiani hata siku moja.

utayakanyaga kukipambazuka.


Haya twende kazi Pinda anakanyaga kinyesi chake mwenyewe


Mkuu, nina mbavu za kuazima, zikivunjika si nitadaiwa?
 
Kama ndo hivyo EL noma lakini wananch 2tamdisco 2 na yeye,maana dhambi zngine kusafishika n ngumu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom