Lowassa could've done better...

Dogo mradi wa maji ziwa Victoria Lowasa kaukuta uko mezani kwa utekelezaji.

City water Lowasa alikuwa akivuta 200m kwa mwezi kama commission alipoingia mwandozya wizarani akmjulisha mkapa akampiga marufuku Lowasa kupokea commission ndo chuki yake Lowasa ikaanza kwa city water alipoupata Waziri mkuu ikaanza nao.akawatimua.

forget about this highly corrupt man Lowasa.
 


Wishful thinking, lkn haikuwa sasa after all, kila mtu anaweza kusema chochote hata mimi nawezaa kusema Lowasa could have been worse, hizo zote ni wishful thinking, Watanzania tumemkataa Fisadi Lowasa na itabakia kuwa hivyo!
 
Kwenye hiyo vision unadhani kina bashite wangekuwepo?....
 

wewe ni mmoja wa wale watu 12,000 aliosema mhe.JPM ana enjoy akiwasikia wakimtukana wala haoni taabu maana nchi hii ina zaidi ya watu milioni 50
 

Pole sana inaelekea uelewi unachoitaji nashindwa ata kuendelea na mjadala.
 
Wishful thinking, lkn haikuwa sasa after all, kila mtu anaweza kusema chochote hata mimi nawezaa kusema Lowasa could have been worse, hizo zote ni wishful thinking, Watanzania tumemkataa Fisadi Lowasa na itabakia kuwa hivyo!
Usimuite mtu fisadi bila ushahidi. Sidhani kama hiyo propaganda itafanya kazi tena. Niambie kati ya hao wawili nani ni fisadi kiuhalisia?

Uncle Magu kauza nyumba za serikali kwa bei chee na nyingine kagawa bure kwa ndugu na kimada. Lowassa hakuna kashfa anayohusika zaidi ya uzushi. Sasa hapo nani ni fisadi ukiacha porojo?
 
Edward Ngoyai Lowassa, Seriously ???
Bado mnajipa haya matumaini kabisa ???
Madhambi ya Kikwete na Magufuli hayamfanyi Lowassa au Chadema kuwa wasafi.
Hawa wote lao ni moja na inabidi wote washughulikiwe na wananchi.
 


Vyovyote vile ila Watanzania tulishamkataa!
 
Mkuu, Lowassa ana uwezo wa kufanya haya yote anayofanya Maghuguli na zaidi. Kitakachoongezeka hapo ni busara. Yatapungua au kwisha hayo mengine yanayonyima uhuru wa kidemokrasia, mauwaji, utekaji, unyanyaswaji nk

Sasa wewe unasema Lowassa na mwizi. Unadhani mimi ndo nilikuwa sisemi hayo maneno? Nimesubiri ushahidi hakuna. Na usidhani kwamba mimi mwananchi wa kawaida nataka nione ushahidi kama ule wa mahakamani. Ushahidi wo wote utakaokuwa una make sense mimi nitaukubali. Hadi usawa huu, hakuna lolote. Achilia mbali la kumshitaki, sioni hata la kumtuhumu. Niwekee lolote lenye ambiguity, litakaloweka hata ushahidi wa kimazingira kuhusu ufisadi wake.

Hayo ya ufafanuzi wa Sumaye, isiwe ndiyo solution. Kina Mnyika na Lissu, taarifa hizo si walizitoa humo humo serikalini? Inawezekana waliozitoa walikuwa wana nia zao binafsi, pengine za kisiasa. Lakini kwa ninavyomjuwa Magu hadi usawa huu. Lowasssa angekuwa fisadi, tayari kungekuwa na kesi kama kina Rugemalila na singasinga.
 
Hata JK hakutaka huyu jamaa apite aisee kilichofanyika ni kua JK alikua na team ambayo jamaa yake Mem...alikua, pia Migiro, Makamba jamaa wa EL walikua wengi kumkomoa wakampitisha jamaa,na kibaya jamaa mwenyewe anajua hastahili kitu chochote kile aiseee ndo mana uongozi wake full kujistukia...
 

Mkuu nimekuwekea maelezo ya Sumaye kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali na bado unamuita Magu fisadi bila kuweka ushahidi wa kueleweka ila unakataa Lowassa asiitwe fisadi pamoja na ushahidi wa bunge. Au umekumbuka tu nyumbani leo bwn mushi?
 
Mkuu nimekuwekea maelezo ya Sumaye kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali na bado unamuita Magu fisadi bila kuweka ushahidi wa kueleweka ila unakataa Lowassa asiitwe fisadi pamoja na ushahidi wa bunge. Au umekumbuka tu nyumbani leo bwn mushi?
Sasa mkuu wangu, unaweka kauli za Sumaye kujustify kuwa Maghufuli hakuhusika kwenye uuzaji wa nyumba za serikali kwa bei chee? Ok, kabla sijaisikiliza(nitaisikiliza in a moment), je Sumaye amekana kwamba Magu hakumpa nyumba za umma ndugu au kimada wake?

Inawezekana uamuzi wa serikali kiujumla haukuwa mzuri, na kwamba yeye alikuwa anafuata orders tu kutoka juu kwa kina Mkapa.

Je hizo order kutoka juu zilihusisha yeye kuuvua uzalendo na kutoa nyumba ya serikali kwa kimada na ndugu?
 
hivi wakati unaandika hii post ulikuwa ns akili timamu kweli? kwani mtu kuwa raisi lazima apitie ccm. lowasa si amegombea urais kupitia ukawa. wakulaumu ni wananchi kwanini wamempa jpm na si EL.
 
Magufuli ni rais bora kabisa kuwai kutokea. Acheni akili fupi za kiafrika, huyo lowassa kwa mfano angefanya nini ambacho magu hafanyi zaidi ya wizi yeye na genge lake la kina rostam karamagi
Kwanini hawajashtakiwa mpaka leo? au mnawaogopa? ama hiyo kesi itawasomba na mnaowatukuza?
 

Wewe unao ushahidi katoa nyumba kwa kimada na ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…