MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,980
Baada ya Dk. Slaa kutangaza kukaa pembeni katika uongozi ndani ya CHADEMA, kuna wananchi wenye fikra pana walihoji busara na hekima za viongozi wakuu wa CHADEMA kama Mbowe kuanza kumshambulia na kumkejeli Dk. Slaa kwa kutumia maneno ya kiingereza wakisema ''Time and tide wait for no man'', kwa lugha nyingine, mafuriko ya Lowassa hayasubiri mtu yoyote! Wachungaji fake kama Gwajima waliotumwa na Lowassa walitumia njia zote kuhakikisha wananchi wasisikie kilio cha Dk. Slaa kinachosema CHADEMA imepoteza mwelekeo.
Regardless of any factors or reasons Mbowe and his cohort think of, Dk. Slaa have an inherent and immeasurable worth and dignity for what has done in CHADEMA and our nation as a whole. Kilio cha Dk. Slaa kisingepita katika macho ya Mwenyezi Mungu bila kupata majibu mbadala. Dk. Slaa ameipigania CHADEMA na taifa letu kwa hali na mali.
Matokeo ya Uchaguzi Mkuu kwa tiketi ya Urais kupitia CHADEMA ni jibu mbadala la kilio cha Dk. Slaa kutoka kwa Mwenyezi Mungu! Haya ndiyo yalikuwa majibu ya dhihaka na kejeli kwa Dk. Slaa. Hata vitabu vya Mwenyezi Mungu vinatuambia utalipwa hapa hapa duniani kutokana na matendo yako.
Lowassa na genge lake lote ambalo aliambatana nalo kutoka CCM limepata kipigo kikubwa cha kisiasa. Wametumia countless money and dirty tricks kupata matokeo ambayo ni hasi. Hata wale waliodhani watapata Ubunge kama Mgana Msindai waliangukia pua!
Lowassa is going through a phase just like Augustine Mrema did. Kilio cha Dk. Slaa kitaendelea kumtafuna mpaka afutike katika uwanja wa siasa! God is killing his image, trust and reputation softly. Hata wale wachungaji fake kama Gwajima waliotuambia Lowassa ni kama Joshua wa kwenye Biblia kwa sasa hawataki tena kuyarudia maneno yao ya kilaghai.
Lowassa will not escape the consequences of his actions. As you sow, so shall you reap!
Kwa kumdhihaki na kumkejeli Dk. Slaa, CHADEMA kwa sasa haina political principle, kinadandia kila hoja ya kisiasa ili tu kionekane kipo katika ulingo wa kisiasa.