Lowassa: CCM isijidanganye

Lumumba wanajiaminisha kuwa wao ni wa kipekee sana watatawala
mpk mwisho wa dunia.mnaijua kesho yenu nyie mmekua Mungu?
 
Hii comment bn
 
Mimi sio ccm ila chadomo ni chama la matapeli. Cuf ni chama la masultani.

Havitufai watanzania.
 
Hivi ni lazima kutumia kiingereza na kiswahili muda mmoja?? nahisi ungeendelea na kiswahili tu ningekuelewa hta kma tunatofautiana mawazo naheshim maoni yako ila kma hujui lugha vizuri sio lazima uitumie humu ilimradi uonekane msomi.... GROW UP
 
ivi ni lazima kutumia kiingereza na kiswahili muda mmoja?? nahisi ungeendelea na kiswahili tu ningekuelewa hta kma tunatofautiana mawazo naheshim maoni yako ila kma hujui lugha vizuri sio lazima uitumie humu ilimradi uonekane msomi.... GROW UP
 
Mimi sio ccm ila chadomo ni chama la matapeli. Cuf ni chama la masultani.

Havitufai watanzania.
Kwa hiyo rais wako magu alipoingia na kukuta hazina yote imekombwa na uozo kila kona ilisababishwa na MATAPELI WA CHADEMA???. So sad miaka 50 baada ya uhuru bado kuna watu wanafikra mbovu dhidi ya sera mbadala na hoja kinzani za wanamageuzi
 
wazo lako binafsi ni mfuu, acha chuki na lowasa
 
Lowassa awe Rais? Nchi gani hiyo? Mwaka Jana alinufaika na mgawanyiko ndani ya CCM lakini 2020 asahau kabisa. Ni bora wamshauri asigombee kabisa maana hatoamini kura kiduchu atakazopata!!
Ccm bhana huwa mnajifanya watabiri wa kiti cha urais upinzani kila mwaka .... mwaka 2010 mkasema mbowe sijui asipewe maana hana ushawishi ghafla mkashangaa ameletwa slaa na kikwete wenu kuokolewa na lipumba.... mwaka jana mling'ang'ania slaaa sijui mzee kawa babu... little u expected akaja lowassa na kuwasomesha namba... sasa trend imeendelea na mnatutabiria mgombea 2020 atakuwa lowassa ccm bhana
 
Unafikiri CCM itaondolewa lini na Chama gani kitakachoitoa CCM Madarakani?
Au kwa vile wewe ni mwana lumumba unaamini kua mtatawala milele?
 
Huyu Magu kilaza sana lakin huyu Mamvi ndio mi nachoka kabisa. NI BORA HATA NCHI ISIWE NA RAIS
 
Ccm mtang'oka wacheni kufikiri kwamba nyie ndio hati miliki ya hii nchi, ni kipi kinachowapa jeuri kiasi hicho, basi ipo siku mtakuja kudhania kwamba mwana ccm yeyote hatokufa maishani mwake kwa jinsi akili zenu msivyozishughulisha kufikiri.
Unaizungumzia ccm ipi. ccm ya wapiga dili ishatoka iko chadema na kinara wake baada ya mbowe kuwauzia. ccm inapigana kuzaliwa upya kwa kuondoa masalia ya wapiga dili na kuwarejeshea wavujajasho chama chao.
 
Ona sasa akili zilizo mfu kwa hiyo mnawekaga uchaguzi wa nini kama hamtaki wapinga muungano wa serilakali mbili wachukue nchi?? Bunge la katiba mliweka majadiliano ya nni si mngesema simply tumefungwa na ushirikina kwa hyo tuache kipengele cha serikali mbili kma kilivyo. Watu wakitaka mabadiliko hta kma nchi imezindikwa hakuna kinachoweza kuzuia hivi ni nani aliyekuwa amejizindika zaidi ya hitler wa ujerumani au czar nicholas wa russia lakini wote walitolewa madarakani unconditionally sembuse wachawi wa kiccm ambao kuna walokole wachache tu walipiga maombi kule bombo hadi mkahamisha mizimu yenu na miuchawi yenu.

Ukikuta kijana anaamini ushirikina na bado unawaza kujenga tanzania ya viwanda its a disgrace ni heri angewekeza kwenye elimu kwanza maana kma ushirikina unazuia basi nyie ccm msiingiloe mchakato wa uchaguzi acha hayo MAUCHAWI yapiganie muungano sio polisi au jecha.
 
Sikio kamwe haliwezikuzidi kichwa.maMvi hawezi kuiangusha CCM.
 
Kwahiyo maMvi na Sumaye ndio wanamageuzi?
 
Mimi sio ccm ila chadomo ni chama la matapeli. Cuf ni chama la masultani.

Havitufai watanzania.
Ukweli Mchungu:

- Chadema, Ni Chama Ambacho Ni Kitega Uchumi Cha Wachagga Na Mtei


- CUF, Ni Chama Chenye Itikati Ya Kidini ( Wakati Tanzania Ina Watu Wenye Imani Tofauti )

- UDP Ni Chama Cha Kujipatia Fursa Za Kiuchumi Kwa Familia Ya Cheyo Na Kaka Yake Ambaye Ni Katibu Mkuu.

- ACT Kilianza Vizuri Ingawa Naona Kimeokoteza Wafuasi Wengi Wa Dini Moja Kutoka Mkoa Mmoja Kigoma

- TLP, ADC, Vyote Hakuna Kitu
....
Wakati Huo Huo CCM Ni Chama Cha Siasa Chenye Msingi Madhubuti Mno, Kila Kila Mkoa, Kila Mtaa, Kila Kitongozi, Kila Familia Kuna Mtu Anaipenda CCM, Kila Kanda, Pande 2 Za Muungano, Dini Zote, Makabila Yote
- CCM Ni Chama Tajiri Chenye Nguvu Mno, Kina Ushawishi Mpaka Jeshini

- Na Kizuri Zaidi CCM Ni Chama Ambacho Huwa Kinajishtukia Na Kujirekebisha Kikifanya Mabaya Mambo Ambayo Upinzani Hawafanyi - Ukiwakosoa Tu Umejimaliza.
 
Ina sound kama kuna kaukweli hapo hasa kuhusu hicho kibuyu walichochanganyia huo udongo hao mababu zetu enzi hizo za Ng'wanamalundi!
 
Lowasa anapoteza muda tuu,hawezi kuwa raisi
Katiba yetu inataka mgombea urais lazima awe na digrii angalao moja. Mbowe hana. Sasa Lowasa asipogombea urais 2020 unataka Lissu ndiye agombee? Are you serious kwamba rais wa awamu ya sita awe Tundu Lissu? Unajua yatakayotupata Lissu akiwa de presidaa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…