anaruka vihunzi na maradhi yake si atapasuka msamba!!nasikia ni mgonjwaaaaaaaaaa, anajikaza tu! anataka nini ikulu huyu babu jamani?? si ale mapesa aliyonayo yamtosha!!
Wait...kuna kitu kinaitwa SELF ACTUALIZATION ndicho anachokisaka!nasikia ni mgonjwaaaaaaaaaa, anajikaza tu! anataka nini ikulu huyu babu jamani?? si ale mapesa aliyonayo yamtosha!!
nasikia ni mgonjwaaaaaaaaaa, anajikaza tu! anataka nini ikulu huyu babu jamani?? si ale mapesa aliyonayo yamtosha!!
Wagonjwa gonjwa ndiyo staili ya magamba,kwani huyo aliyepo yukoje? Angekuwa amecha kuanguka anguka asingetoa hotuba akiwa amekaa kama alivyofanya Dodoma juzi.nasikia ni mgonjwaaaaaaaaaa, anajikaza tu! anataka nini ikulu huyu babu jamani?? si ale mapesa aliyonayo yamtosha!!
Mkuu akifuatilia huu uzi atakuwa amepata elimu bora ya siasa bila malipo yoyote. Endelea kuwaelimisha vijana maana siku hizi kadi zinagaiwa vijiweni sio wakati wetu mpaka ukae darasani miezi kadhaa na kuhitimu ndipo mgeni rasmi aje kuwatunuku wahitimu kadi, siyo ujanjaujanja wa siku hizi ukimuuliza mtu unaijua katiba ya chama chake inasemaje hajui.View attachment 71160
The artwork doesn't make any sense.
The final huddle which Lowassa will face is Mkutano Mkuu Taifa. Kabla ya mkutano mkuu ata face mchujo wa Halmashauri Kuu. Akitoka Halmashauri Kuu harudi tena "chini" kwenye Kamati Kuu! Sasa utasemaje amesharuka kiunzi cha NEC bado CC, rubbish.
Wakati wa chama kimoja binadamu wote Tanzania tulifundishwa structural pillars za CCM kuanzia shina la nyumba kumi. Lakini media yetu haielewi, haikwenda shule, jana mwandishi mmoja wa MWANANCHI amesema kofia mbili za Rais na Mwenyekiti wa chama zinaenda pamoja kwa mujibu wa Katiba!
View attachment 71160

Kama "michujo ya urais" bado basi hayo Lowassa anayo dili nayo kwa sasa sio "viunzi!" Kiunzi cha mwisho ndani ya chama ni Mkutano Mkuu wa May, 2015! Huwezi kusema amebakiza kiunzi kimoja halafu unasema michujo ya Urasi bado, kwa hiyo bado viunzi vingapi, kimoja cha Central Committee au na michujo pia, it doesn't make any sense!!!Nadhani msanii amemaanisha katika kupanga safu ya wanaomuunga mkono ndani ya ngazi mbalimbali za chama chacke na sio michujo ya uraisi - that's not yet.
anaruka vihunzi na maradhi yake si atapasuka msamba!!