Lowassa: Bado Kisiki Kimoja Tu...

Lowassa: Bado Kisiki Kimoja Tu...

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
33.jpg
.........
 
Artist/cartonist huyu ni kiboko, nadhani EL akiona hata yeye atacheka sana jamani.
 
nasikia ni mgonjwaaaaaaaaaa, anajikaza tu! anataka nini ikulu huyu babu jamani?? si ale mapesa aliyonayo yamtosha!!
 
Ukiupata urais maradhi yote yanapona...
 
nasikia ni mgonjwaaaaaaaaaa, anajikaza tu! anataka nini ikulu huyu babu jamani?? si ale mapesa aliyonayo yamtosha!!
Wait...kuna kitu kinaitwa SELF ACTUALIZATION ndicho anachokisaka!
Pesa 'parse' haiwezi kumpa mtu hiyo kitu ...ogopa!
 
nasikia ni mgonjwaaaaaaaaaa, anajikaza tu! anataka nini ikulu huyu babu jamani?? si ale mapesa aliyonayo yamtosha!!

Anakimbilia Ikulu kuficha au kulinda maovu yake na mapesa yake ya kifisadi,kawaona wa TZ wote hamnazo vichwa wazi,kaaaaaaaaaaaaaaaaazi kwelikweli.
 
View attachment 71160

The artwork doesn't make any sense.

The final huddle which Lowassa will face is Mkutano Mkuu Taifa. Kabla ya mkutano mkuu ata face mchujo wa Halmashauri Kuu. Akitoka Halmashauri Kuu harudi tena "chini" kwenye Kamati Kuu! Sasa utasemaje amesharuka kiunzi cha NEC bado CC, rubbish.

Wakati wa chama kimoja binadamu wote Tanzania tulifundishwa structural pillars za CCM kuanzia shina la nyumba kumi. Lakini media yetu haielewi, haikwenda shule, jana mwandishi mmoja wa MWANANCHI amesema kofia mbili za Rais na Mwenyekiti wa chama zinaenda pamoja kwa mujibu wa Katiba!
 
nasikia ni mgonjwaaaaaaaaaa, anajikaza tu! anataka nini ikulu huyu babu jamani?? si ale mapesa aliyonayo yamtosha!!
Wagonjwa gonjwa ndiyo staili ya magamba,kwani huyo aliyepo yukoje? Angekuwa amecha kuanguka anguka asingetoa hotuba akiwa amekaa kama alivyofanya Dodoma juzi.
 
View attachment 71160

The artwork doesn't make any sense.

The final huddle which Lowassa will face is Mkutano Mkuu Taifa. Kabla ya mkutano mkuu ata face mchujo wa Halmashauri Kuu. Akitoka Halmashauri Kuu harudi tena "chini" kwenye Kamati Kuu! Sasa utasemaje amesharuka kiunzi cha NEC bado CC, rubbish.

Wakati wa chama kimoja binadamu wote Tanzania tulifundishwa structural pillars za CCM kuanzia shina la nyumba kumi. Lakini media yetu haielewi, haikwenda shule, jana mwandishi mmoja wa MWANANCHI amesema kofia mbili za Rais na Mwenyekiti wa chama zinaenda pamoja kwa mujibu wa Katiba!
Mkuu akifuatilia huu uzi atakuwa amepata elimu bora ya siasa bila malipo yoyote. Endelea kuwaelimisha vijana maana siku hizi kadi zinagaiwa vijiweni sio wakati wetu mpaka ukae darasani miezi kadhaa na kuhitimu ndipo mgeni rasmi aje kuwatunuku wahitimu kadi, siyo ujanjaujanja wa siku hizi ukimuuliza mtu unaijua katiba ya chama chake inasemaje hajui.
 
Mfumo wa vyama vingi vya siasa vimeilemaza CCM badala ya kuiimarisha zaidi may be chuo cha chama kitaleta mageuzi makubwa katika fikra na mitazamo ya walio wengi!
 
View attachment 71160

The artwork doesn't make any sense.

The final huddle which Lowassa will face is Mkutano Mkuu Taifa. Kabla ya mkutano mkuu ata face mchujo wa Halmashauri Kuu. Akitoka Halmashauri Kuu harudi tena "chini" kwenye Kamati Kuu! Sasa utasemaje amesharuka kiunzi cha NEC bado CC, rubbish.

Wakati wa chama kimoja binadamu wote Tanzania tulifundishwa structural pillars za CCM kuanzia shina la nyumba kumi. Lakini media yetu haielewi, haikwenda shule, jana mwandishi mmoja wa MWANANCHI amesema kofia mbili za Rais na Mwenyekiti wa chama zinaenda pamoja kwa mujibu wa Katiba!

Nadhani msanii amemaanisha katika kupanga safu ya wanaomuunga mkono ndani ya ngazi mbalimbali za chama chacke na sio michujo ya uraisi - that's not yet.
Unapomkosoa mtu jaribu kujiepusha na offensive language like 'rubbish', intellectuals argues without the use of offensive language.
 
msimdanganye mzee wa watu visiki ni vingi sana.sijui kwanini umesahau tuhuma za ufisadi zinazomkabili lowassa ambazo hata yeye mwenyewe hajazisahau.
 
Nadhani msanii amemaanisha katika kupanga safu ya wanaomuunga mkono ndani ya ngazi mbalimbali za chama chacke na sio michujo ya uraisi - that's not yet.
Kama "michujo ya urais" bado basi hayo Lowassa anayo dili nayo kwa sasa sio "viunzi!" Kiunzi cha mwisho ndani ya chama ni Mkutano Mkuu wa May, 2015! Huwezi kusema amebakiza kiunzi kimoja halafu unasema michujo ya Urasi bado, kwa hiyo bado viunzi vingapi, kimoja cha Central Committee au na michujo pia, it doesn't make any sense!!!
 
Back
Top Bottom