c shangai hata BWANA YESU alizomewa na kuthihaikiwa lakini hayo yote ili neno litimie na sasa ndie tunae mwadu ......mtamthiaki Lowasa na kumnenea uongo ila cku ya cku ndie atakuwa raic wetu.
.Wakazi wa Morogoro wamethibitisha wewe kama upo karatu huwezi amini, ila habari ndiyo hiyo hapa morogoro na wengi hawataki hata kusikia jina hilo.
Lowassa sio Yesu.
Kuna mpuuzi mmoja alishamuita Mtume SAW..
Koma kabisa huu upuuzi
Sisi wanachadema hatutaki kukipoteza chama chetu ndiyo maana hatumuungi mkono mgombea wetu wa Urais... Haiwezekani mtu fisadi aliyepingwa na marais wote waliopita halafu tumpokee kwa shangwe. Tutaendelea kumzomea hadi mwisho na tutahakikisha hapati ushindi, bora litote tugawane mbao, tutajipanga tena 2020
Chadema ni genge la mafisadi kwa sasa
Masaburi na ccm yake .hamjakata tamaa tuu !!??Katika kampeni zake mgombea urais kupitia tiketi ya chadema amezidi kupata wakati mgumu kwa kuzomewa na wanachama wanaosadikika ni chadema masalia wakiwa katika makunditofautitofauti. Vijana na mashabiki hao bado hawaamini kama ni kweli mzee huyo kapewa kugombea nafasi hiyo pasipo kuwa na uwezo na sifa zilizokuwa zikiendana na maadili ya chama, wanachama hao wameenda mbali na kusema wanawasiwasi na mkiti wao pamoja na watendaji wengine kutokana na kutumia mabavu katika kufanya maamuzi pasipo kuhusisha maoni ya wanachama.
Wakazi wa Morogoro wamethibitisha wewe kama upo karatu huwezi amini, ila habari ndiyo hiyo hapa morogoro na wengi hawataki hata kusikia jina hilo.
kazomewa mimi nimekuwa morogoro na nimeshuhudia akizomewa japo mnaficha.
chadema kubalini tu kazomewa ukweli haujifichi