Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

teh teh...kumbe zile sms ni za kweli!!!
 

Mutaweweseka sana na kutunga cheap propaganda za ccm. Mutafilisika nie na mawazo mgando yenu. Nie sio watu wamapambano ni watu wa hovyo mnao teketeza nchi kwa njaa zenu.
 
Ingawa Mimi siyo mfuasi Wa UKAWA ila huo uandidshi duh...in shida!!! Yaani ngoja nikae kimya tu...maana lugha chafu siyo Hekima ila ni vizuri kuandika vizuri.
 

Gamba at work...
 

toka lini aisha ukawa na akili??
 
Kazomewa mimi nimekuwa morogoro na nimeshuhudia akizomewa japo mnaficha.

Muwe wakweli hata chembe jamani, mimi nilikuwa pale uwanjani mpaka mh raisi mtarajiwa ndg Edward Ngoyai Lowasa anaingia, hakuna mtu wala kikundi cha watu kilichomzomea, zaidi ya kumshangilia sanaaa!!
 
You cant win a case without evidence. So these mere words can not hold water.
 
Naona Moderator na Invisible wapo likizo,mleta mada leo moja tu kaanzisha thread zaidi ya 10 kumchafua Lowassa!!

Kweli Makamba na vijana wake wa IT Masaki hawalali!!
 
Last edited by a moderator:
Kazomewa mimi nimekuwa morogoro na nimeshuhudia akizomewa japo mnaficha.

We dada mnafiki me nilikuwepo mwanzo mwisho nani kamzomea acha uongo wako hawa wanachama wameambukizwa uongo na viongozi wao
 
Babu hali yake sio nzuri ndio sababu anazomewa.
 
Kama hizi ndo propaganda za magamba, wajipange upya. Hata wasio na vyama wanaona ni ujinga!!
 

Weka namba yako ya kadi ya CHADEMA hapa tujue ukweli wako.. Otherwise u r just another fvcker
 
Sishangai kama kazomewa maana hata Lema alisema watu wakimzomea watapata baraka, hivyo kwa sentensi ya Lema watakua wamebarikiwa watu hao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…